Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 562
Wadau nisaidieni tume launch campaign ya kutoa elimu kwa sex commercial workers katika mikoa yote. Tatizo tunalokabiliana nalo ni kuwa locate hawa wahusika ambao ni hawa dada poa katika mikoa mbalimbali. Ninaomba wanaojua location( yaani mitaa wanayofanyia biashara usiku) ya madada poa katika mikoa ifuatayo wanisaidie ili iwe rahisi kuwafikia.
Mwanza
Morogoro
Mbeya
Iringa
Dodoma
Tanga
Ruvuma
Mtwara
Lindi
Mara
Kigoma
Shinyanga
Singida
Tabora
Kahama
Rukwa
Babati
Tayari tunayo maeneo katika mikoa ya Dar, Arusha, Kilimanjaro na Karatu.
This is serious naomba wadau wa mikoa iliyopo kwenye list tumia muda kidogo tu kutaja mtaa au kitongoji ili iwe rahisi kufanya proper planning na kupunguza muda wa kupita mtaa kwa mtaa.
Tunataka kuwajengea elimu ya biashara mbadala na ujasiriamali n.k ikiwa ni mkakati wa kujaribu kupunguza UKIMWI.