Elimu kwa Sex Commercial Workers nisaidieni

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
652
562
Wadau nisaidieni tume launch campaign ya kutoa elimu kwa sex commercial workers katika mikoa yote. Tatizo tunalokabiliana nalo ni kuwa locate hawa wahusika ambao ni hawa dada poa katika mikoa mbalimbali. Ninaomba wanaojua location( yaani mitaa wanayofanyia biashara usiku) ya madada poa katika mikoa ifuatayo wanisaidie ili iwe rahisi kuwafikia.
Mwanza
Morogoro
Mbeya
Iringa
Dodoma
Tanga
Ruvuma
Mtwara
Lindi
Mara
Kigoma
Shinyanga
Singida
Tabora
Kahama
Rukwa
Babati

Tayari tunayo maeneo katika mikoa ya Dar, Arusha, Kilimanjaro na Karatu.

This is serious naomba wadau wa mikoa iliyopo kwenye list tumia muda kidogo tu kutaja mtaa au kitongoji ili iwe rahisi kufanya proper planning na kupunguza muda wa kupita mtaa kwa mtaa.
Tunataka kuwajengea elimu ya biashara mbadala na ujasiriamali n.k ikiwa ni mkakati wa kujaribu kupunguza UKIMWI.
 
Lubafredrick

New Member
Feb 9, 2012
1
0

=kwa tanga mkuu kuna maeneo ya chichi club, la casa chika na town katikati ya mji.
 
blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,868
5,922
Commercial Sex Workers si WADADA tu kuna mpaka MA-KAKA POA vp nao mnawapa "ELIMU"? na ni kweli mpo serious au ndo mnataka kuwat.o.m.ba dada za watu. Anyway kama ni kweli kapigeni kazi msichanganye "Mapenzi" na "Elimu" si mnakumbuka PENZI KITOVU CHA UZEMBE?
 
blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,868
5,922
Mwanza wapo sehemu inaitwa Makoroboi, Dodoma waulizeni wabunge/mawaziri hasa Mali.ma
 
blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,868
5,922
USHAURI: Anzeni utafiti mjue ukubwa wa tatizo/chanzo ndo mjipange kuwapa elimu coz mkianza na Elimu wakati hamjui tatizo ni kupoteza muda & pesa. Nilishawahi kufanya utafiti Dar es Salaam, Arusha na Mwanza kwenye Madanguro na Machangudoa wa barabarani
 
mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,301
463
Tumia tafsida basi hata kidogo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,382
1,343
Du kweli tafiti na elimu ya Tanzania itaendelea kuwa duni na duni mpaka basi,wewe unataka kufanya dodoso zote hizo hata mkoa mmoja hujui wanapopatikana,ungesema kuwa mimi kwa uapnde wa Morogoro najua wapo sehemu flan,na Rukwa na Katavi wapo sehemu flan na pia Dar.Sasa tafadharini nisaidie kwa mikoa iliyobaki,lakini wewe unataka uelekezwe kila kitu ndugu yangu kweli.Ok ndo elimu zetu na ni bahati nzuri hapo mwishini utaondoka na A kama wewe ni mwanafunzi na kama wewe ni mtu wa NGO fund utapata tu kwa kutumia vichwa vya watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom