Elimu kwa mabasi yaendayo kasi

Ni vema tufafanuliwe hizo strucural drawings zipoje ili kuondoa UBISHI

Hapo umenena mkuu, tatizo nani atakae leta hiyo elimu fasaha? Ngoja tusubiri mwenye "matirio" ya huo ujenzi
 
Tumaini langu nyote mu wazima wa afya, ila kwa wewe ulio na udhaifu wowote basi Muumba wako akurejeshee afya njema.

Wakuu, nadhani baadhi ya watanzania wengi wanaona na kufuatilia mfumo mpya kwa mabasi yaendayo kasi hasa ktk jiji la dar.

Tatizo kubwa ni mabishano yanapojitokeza kuhusu utumiaji huo mpya na hakuna mwenye maelezo yakinifu nikiwemo mimi.

Kweli nahitaji maelezo yakinifu kabisa ktk maswali haya
1. Kama ni magari yaendayo kasi, kwanini vituo vyake vipo karibukaribu sana
2. Kuna mipaka gani kati ya mabasi yetu ya kawaida na hayo yakwenda kasi ili kuzuia ajali?
3. Utaalamu gani umetumika ktk mfumo huu kuzuia ajali na foleni
4. Kwenye mataa (mf. magomeni, ubungo) ni mfumo gani utatumika mabasi haya yasikae ktk foleni
5. Huduma itakuwa kwa masaa 24?

Mwenye taarifa sahihi naomba anitoe huu ujinga uliopo kichwani tafadhali.

nb: Picha ni muhimu

6.je daraja la manzese linabomolewa au linabaki?
 
Mimi najawa na wasiwasi wa haya mabus kujitandaza hapo katikati ya lane za kushoto na kulia, je watu wakishashusha watapata msaada gani kuvushwa maende makwao. Je walemavu, wagonjwa, watoto, wazee na wengine wote wenye mahitaji maalumu itakuwaje katika kuvuka hizo lanes akiienda kupanda mabus yaendayo kasi hapo katikati; au atavukaje hizo lanes mara akishuka kutoka kwenye mabus yaendayo kasi hapo katikati. Sitaki majibu rahisi kwa maswali magumu.

Ngoja nidandie nyuma ya swali lako
 
BRT

1. PROJECT LOCATION
The project is located in the city of Dar es Salaam. The Works for the first phase cover a length of 20.9 km starting at Kivukoni Ferry to Kimara Mwisho including sections of Kawawa Road from Magomeni to Morocco and Msimbazi Road from Fire to the intersection with Nyerere Road.
The Works will also include construction of 29 ordinary bus stations (bus stops) within roadway; 5 bus terminals and 2 bus depots along the project corridor as illustrated in Figure 1 below.
brt%201.jpg
Figure 1: The Project Corridor – Phase 1

2. BACKGROUND
The Government of the United Republic of Tanzania has received credit from the International Development Association (IDA) towards the cost of Second Central Transport Corridor Project (CTCP 2). It is intended that part of the proceeds of this credit will be applied by TANROADS to eligible payments under the contracts for the Construction of Dar es Salaam Bus Rapid Transit (BRT) Infrastructure - Phase 1.

3. PAVEMENT
Roadways - From BRT design concept, cement concrete pavement (reinforced concrete) has been adopted for BRT lanes and flexible pavement (thick hot mixed asphalt) adopted in the mixed traffic lanes and will be laid directly on the existing stabilized base.
Walkways -The walkways will be on concrete (pre-cast), according to the chainage definitions, following a module of 10m. There will be a band of 10 x 25 cm stones.

4. ROAD CROSS-SECTIONS CHARACTERISTICS
The project corridor is divided into different seven stretches, according to road characteristics, and the typologies are defined in relation to this division. Typical Cross Section is as shown in Figure 2 below.

brt%202.jpg

Figure 2: Typical Cross Section

5. CONSTRUCTION CONTRACTS
The construction project entails implementation of seven (7) Works Packages namely;
Package 1: Road Works;
Package 2: Ubungo Depot, Feeder Station and Up-Country Bus Station;
Package 3: Jangwani Depot;
Package 4: Kivukoni Terminal and Feeder Station;
Package 5: Kariakoo Terminal and Feeder Station;
Package 6: Feeder Stations; and
Package 7: Relocation of Power Utility.

5.1 Package 1: Road Works
Package 1 involves construction roads with total of 20.9km. The package is implemented under two lots:
Lot 1 (10.4km): Morogoro Road from Kimara up to Magomeni including Bus Stations and Terminal Buildings (Kimara and Ubungo Terminal plus Pedestrian Bridges) and
Lot 2 (10.5km): Morogoro Road from Magomeni up to Kivukoni, Kawawa Road from Magomeni up to Morocco and Msimbazi Road from Fire to Kariakoo at intersection with Nyerere Road including Bus Stations and Terminal Buildings (Morocco Terminal and Morocco Feeder Station plus Pedestrian Bridge).
Procurement of Contractors for the two lots is at final stage and the contracts are expected to be signed by May 2011 and the duration of the contract will be 24 months.

5.2 Package 2: Ubungo Depot, Feeder Station and Up-Country Bus Terminal
Package 2 involves construction of three facilities namely Bus Depot, Feeder Station and the Up-country Bus Terminal. The works under this Package shall constitute of the following:
a) Demolition of existing Buildings;
b) Construction of Concrete and asphalt finished road and parking , 107,970 m2;
c) Construction of Depot Buildings consisting Administration Block, Main Building, Fuel Shed, Visual inspection Shed, Generator House and 2 No Gate houses and associated site works;
d) Construction of Feeder Station and Control Building consisting Feeder Bus Shed; Control Building and Ablution Block, Generator House and Gate House and associated site works;
e) Construction of Up-Country Bus Station consisting Main Shed and Ticketing Offices including parking lot and associated site works

Construction of the above facilities shall take place on the existing Up-Country Bus Terminal (UBT), which shall remain operational while the construction works continue.
The construction has been planned to be executed in two consecutive phases such that movement of Up-Country buses shall not be disrupted.
Phase 1 will include construction of the Depot (on the north side) as specified in bullets (b) and (c) above and Ticketing Offices including parking lot (on the west side).
Phase 2 will include construction of Feeder Station and Up-Country Bus Terminal and all associated site works.
The Works contract was signed with Beijing Construction Engineering Group (BCEG) Co. Ltd of China in August 2010 at a Contract Sum of TZS 14.6b/- and the duration of the contract is 24 months.

5.3 Package 3: Jangwani Depot
This package comprises filling the entire site with selected imported material; construction of Depot buildings which consist of Administration Block, Main Building, Fuel Shed, Visual inspection Shed, Generator House, 3 No Guard Houses, Ablution Block and associated services; Construction of concrete finished access road and parking area about 41,000 m2; Construction of precast concrete paving block finished parking area about 5,000 m2 and Construction of block wall fence and steel gates.
The Works contract was signed with China Civil Engineering Construction Corporation of China in December 2010 at a Contract Amount of TZS 12.8b/- and the duration of the contract is 24 months.

5.4 Package 4: Kivukoni Terminal and Feeder Station
This package comprises Construction of Terminal Buildings which includes main shed, control building, ablution block, gate house and associated site works and services; Construction of concrete finished access road and parking to terminal station; Construction of Feeder Bus Station sheds including access road and parking; and Construction of block wall fence, foul and surface water drainage
The Works Contract was signed with Beijing Construction Engineering Group (BCEG) Co. Ltd of China in June 2010 at a Contract Sum of TZS 5.0b/- and the duration of the contract is 12 months.

5.5 Package 5: Kariakoo Terminal and Feeder Station
This package comprises Construction of Terminal Buildings which includes Main Shed, Guard house and associated site works and services; Construction of concrete finished access road and parking to terminal station; Construction of Feeder Bus Station sheds (8 No) including access road and parking; and Construction of block wall fence, foul and surface water drainage.
The Works Contract was signed with Beijing Construction Engineering Group (BCEG) Co. Ltd of China in August 2010 at a Contract Sum of TZS 6.3/- and the duration of the contract is 12 months.

5.6 Package 6: Feeder Stations
This package comprises Construction of 6 No Feeder Stations Sheds at Shekilango, Urafiki, Magomeni Mapipa, Fire, Kinondoni “A” and Mwinyijuma; and Construction of bituminous finished access roads to those 6 No Feeder Stations.
The Works Contract was signed with Beijing Construction Engineering Group (BCEG) Co. Ltd of China in August 2010 at a Contract Sum of TZS 4.4b/- and the duration of the contract is 12 months.

5.7 Package 7: Relocation of Power Utility
The project comprises power lines relocation works, with complete system design, procurement/ manufacture, manufacturer’s quality assurance, shop testing, transportation, storage, erection, including all civil/structural works, site testing, commissioning of all items & materials including all associated activities required for the completion of the entire works under this package.
The Works contract was signed in May 2010 with M/s Spencon Services Ltd of Tanzania at a Contract Sum of 5.6b/- and the duration of the contract was 9 months.

brt%202.jpg

Source http://www.tanroads.org/index.php?option=com_content&view=article&id=124&Itemid=124

The typical cross-section 4 above is fine, but the problem starts for the cross section from Kibo to Kimara whereby other vehicles is allocated with One lane each side!! It is very Important to know that From Ubungo to Upcountry is where the road is extremely busy where the Busses and lorry trucks enter the city and lorries to the Harbor!!
Pia izingatiwe huu mradi design zake zimefanyika muda mrefu!! Nakumbuka designs zimeanza 2004!! Hii ni Dhairi kuwa Vitu Vingi na technologia zimeshapitwa na wakati!! Kwa mfano kwenye Hizi pedestrian crossings mimi Binafsi ningependelea Ziwekwe Traffic lights Instead of Speed Humps / Bumps. Fikiria Kila baada ya Mita 500 Tuta!! Huu ni uharibifu Mkubwa wa barabara. Kwa kawaida Matuta ni chanzo kikubwa cha Uharibifu wa barabara!!
Jambo jingine ni Kuwa kwenye study Ilikuwa imependekezwa Ziwekwe Under Bridges Kwa ajili ya wasafiri ili kuondoa interruption na watumiaji wengine wa barabara!! Hili sio la kuzuia Kwani Huu ni ulimwengu wa kila mtu kuwa na Haraka!!!
Hili suala la speed Humps ni kuturudisha Nyuma!! Mheshimiwa Magufuli Upo? Soma hizo ramani na Connect between dots Utagundua mapungufu Makubwa!! Ni Muhimu tukayafanyia Kazi kabla Ujenzi Haujakamilika na sio kujikita kwenye Kutoa sifa Tuu
 
Mimi najawa na wasiwasi wa haya mabus kujitandaza hapo katikati ya lane za kushoto na kulia, je watu wakishashusha watapata msaada gani kuvushwa maende makwao. Je walemavu, wagonjwa, watoto, wazee na wengine wote wenye mahitaji maalumu itakuwaje katika kuvuka hizo lanes akiienda kupanda mabus yaendayo kasi hapo katikati; au atavukaje hizo lanes mara akishuka kutoka kwenye mabus yaendayo kasi hapo katikati. Sitaki majibu rahisi kwa maswali magumu.

Tujiandae kwa ajali nyingi tu baada ya ujenzi kukamilika, na hapo ndipo suluhisho litakapotafutwa.
 
Hapo umenena mkuu, tatizo nani atakae leta hiyo elimu fasaha? Ngoja tusubiri mwenye "matirio" ya huo ujenzi

mtoa mada maswali yako ni ya msingi kuju au kuelewa HATAIVYO UNATAKA KAVUKA MTO KABLA HAUJAFIKA KWA MTO..utafiti ulifanywa kwa miaka 5 kabla ya ujenzi kuanza nandio maana hata pale shule UHURU na MABASI YA MKOA nk pana bomolewa kwaajili ya MABOLESHO ZAIDI ikiwa pamoja na MASWALI YAKO subili uone...
 
Fuatilia hoja kwa makini mkuu
 
Back
Top Bottom