ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Kwenye mataa itakuwaje?
hapo watayafanyia usanii tu yatakaa..
Kwenye mataa itakuwaje?
hujajibu hata swali moja
Hivi na msafara wa Raisi utakuwa unapita hapo na kama ukiwa unapita mabasi yatasimamishwa?
hasa kuna mbabu mmja jeuri kweli kweli alafu huwa wanachafua watu makusud hasa akuone umependeza nongwakama haya mabasi yatakuwa yanaenda mpaka ferry ningependekeza wale ndugu zetu wanaofanya biashara za samaki watengewe mabasi yao. Maana kero na shombo la samaki kuna baadhi ya wadau najua mnalitambua hilo. Utakuta jamaa anaingia na mkapu wa samaki halafu anakuwekea puani kwako kabisa na ole wako ufungue mdomo.
Hivi na msafara wa Raisi utakuwa unapita hapo na kama ukiwa unapita mabasi yatasimamishwa?
Huu mradi nimeufuatilia na kuuona ni Maafa kwa watumiaji wengine!! Hii Itakuwa ni aibu sana!! Kwanza kutoka Ubungo Kibo hadi Kimara mwisho Kutakuwa na single lane kwa barabara za watumiaji wengine wa barabara!!
Pia kila baada ya Hizo mita 500 kwenye barabara za watumiaji wengine kutakuwa kunawekwa matuta kuzuia watumiaji wengine ili kuruhusa wapandaji kwenye Mabasi!!
What type of a Bogus Project is This!! Magufuli amka angalia hizo ramani Mapema zifanyiwe review!! Kwani ni aibu!!
Wewe ndio hujaielewa
Naona ndugu yangu umelewa na Architectural drawings. Mimi nimefuatilia structural na construction drawings!! Nikagundua hayo mapungufu!! Just Trust My word because I have the copy of what is supposed to be Constructed!!
Mhh, wewe mtamu?Wewee..
Mhh, kaka maneno makali sana hayo, jaribu kuiheshimu hiyo title yako, "saint", just saying..wewe jamaa ni kilaza sana .. Huu mradi hatujautunga sisi huu unatumika kwenye nchi kibao. Acha bangi na kupinga kila kitu kama ni biashara zenu za madaladala mtayahamishia huko kibaha