linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa vya aina yote bila kukosa keki.
Sasa shida yangu ni ushauri naanzia wap mtaji wangu ni wa milion 2 tu.
Na sina utaramu wa kutengeneza keki na hvo vikololo vingine
Sitaki mgahawa mkubwa nataka mudgo mdogo tu ila uwe wa kisasa kiasi kwamba mtu yeyeto anaweza ingina
Mnishauri pa kuanzia na nini cha kufanya kbla ya kuanza.