Elimu kuhusu mgahawa wa kahawa

Elimu kuhusu mgahawa wa kahawa

Huo mgahawa unakaa mwenyewe au unaajiri watu?
Naajili mtu mwenye utaramu wa hyo mambo pia mimi nakuwepo maan me bingwa sana wa kutengeneza juice mpk inayo nywewa marecan me naitengeneza bongo sijasomea ila mtundu tu ila ni lazima kuwa na mtaaramu.
 
Mdau wangu Amin hicho hicho kipambanie ipo cku utakuja hapa na ushuhuda mzuri
Kwa kifupi mm ni mtaalamu wa kahawa ungekuwa Arusha ningekusaidia hata mawazo

Kila la kheri mkuu usikatishwe tamaa na mtu yeyote
Ameni mkuu sema dunia ni kijiji nitakuchek unipe maujuzi.
 
Naajili mtu mwenye utaramu wa hyo mambo pia mimi nakuwepo maan me bingwa sana wa kutengeneza juice mpk inayo nywewa marecan me naitengeneza bongo sijasomea ila mtundu tu ila ni lazima kuwa na mtaaramu
Maliza nije kunywa ya kimarekani,

Au niweke order unadeliver[emoji7]
 
Nina
Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa vya aina yote bila kukosa keki.

Sasa shida yangu ni ushauri naanzia wap mtaji wangu ni wa milion 2 tu.

Na sina utaramu wa kutengeneza keki na hvo vikololo vingine

Sitaki mgahawa mkubwa nataka mudgo mdogo tu ila uwe wa kisasa kiasi kwamba mtu yeyeto anaweza ingina
Mnishauri pa kuanzia na nini cha kufanya kbla ya kuanza.
Nina neno la kutia hapa
 
Attachments

  • IMG-20200729-WA0015.jpg
    IMG-20200729-WA0015.jpg
    48.8 KB · Views: 23
  • IMG-20200729-WA0012.jpg
    IMG-20200729-WA0012.jpg
    46 KB · Views: 22
Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa vya aina yote bila kukosa keki.

Sasa shida yangu ni ushauri naanzia wap mtaji wangu ni wa milion 2 tu.

Na sina utaramu wa kutengeneza keki na hvo vikololo vingine

Sitaki mgahawa mkubwa nataka mudgo mdogo tu ila uwe wa kisasa kiasi kwamba mtu yeyeto anaweza ingina
Mnishauri pa kuanzia na nini cha kufanya kbla ya kuanza.
2m ni kianzio kuzuri tu...location na material...uandaaji bila kusahau care ya wateja.hii biashara ni mbadala wa pombe ama biashara za grocery
 
Kwanza ujue ubunifu ni kitu muhimu sana.... eneo lako la coffee lisiwe chuma tu unaweza design banda la mbao kwa kupiga na vanish likang'aa sana.... Ubunifu wa Mavazi sijausahau

Viti viwe vya tofauti na mandhari ya eneo iwe ya tofauti (ukigoogle utapata maarifa zaidi)

Katika utengenezaji wa kahawa bora inahitaji sana mazoezi ambayo yanakujengea uzoefu,,,, Youtube ni sehemu sahihi sana kuweza kujifunza kutengeneza aina zote za kahawa na jinsi ya kucreate ladha mbalimbali kwenye viungo vyako....

Kunasehemu huwa naoenda kwenda kunywa kunywa kahawa nikifanikiwe kupita weekend hii nitapiga picha ile design ya environment yao ya mbao
 
Back
Top Bottom