Elimu kuhusu mgahawa wa kahawa

Elimu kuhusu mgahawa wa kahawa

Kwanza ujue ubunifu ni kitu muhimu sana.... eneo lako la coffee lisiwe chuma tu unaweza design banda la mbao kwa kupiga na vanish likang'aa sana.... Ubunifu wa Mavazi sijausahau

Viti viwe vya tofauti na mandhari ya eneo iwe ya tofauti (ukigoogle utapata maarifa zaidi)

Katika utengenezaji wa kahawa bora inahitaji sana mazoezi ambayo yanakujengea uzoefu,,,, Youtube ni sehemu sahihi sana kuweza kujifunza kutengeneza aina zote za kahawa na jinsi ya kucreate ladha mbalimbali kwenye viungo vyako....

Kunasehemu huwa naoenda kwenda kunywa kunywa kahawa nikifanikiwe kupita weekend hii nitapiga picha ile design ya environment yao ya mbao
Asante mkuu nitashukuru sana
 
Coffee Shop ni Biashara nzuri inayokua kwa kasi maeneo ya miji yenye watu wengi. Wazo zuri, ila kufungua ya coffee Shop ya kisasa kwa mtaji huo wa 2M ni ndogo hasa ukizingatia mahitaji yake ya vifaa na vitendea kazi yana gharama sana, bila kusahau mgahawa wenyewe unatakiwa uwe na eneo kubwa kidogo kuweza kuweka walau meza 4 hadi 10 na mandhari ya utulivu. Nakushauri anza na kidogo kulingana na ulichonacho kwa sasa. Fanya yafuatayo :

- tafuta eneo kubwa lililo barabarani na kwenye mzunguko wa watu wengi hasa wa maofisini kisha lipia
- fanya ukarabati na ubunifu wa muonekano wa eneo lako kwa kutumia materials za bei nafuu na vitu vichache

- Anza na kuuza bites, juice, smoothies, milk shakes, mocktails na vinywaji vya chai vya kawaida kisha ukija kupata mtaji mkubwa ununue Espresso machine uuze coffee drinks.
- nunua display hata used kwa ajili ya kuweka bites, na pastries.
 
Mim mpenz wa kahawa ndio kinywaj changu mwaka wa 20 huu.hata saa saba mchana utanikuta na gahawa.sasa mzee kwa mil 2
mgahawa wa kisasa.inawezekana.
upo location gan? mana coffee shop zina watu wake.

Mana zile expresso mashine bei zak3 used mpk laki 7 na kuendelea.
vikororko vingine easy tu keki mandaz unaweza kupikisha kwa mtu ukalangua.shida ujue kwanza location ya coffee shop yako.

Unless unataka kufungua mgahawa wa kuikuta chai kwenye chupa.au kahawa kwenye chupa.
mim nikisikia coffee shop najua nikitaka Latte,expreeso,au cappucino
Upo advanced kwenye coffee industry. Pamoja na kukulia kwenye kahawa, lakini Espressos nimekuja kuifaham this year.
 
Ndio mkuu kila kitu kinaenda na hatua ndo maan nikasema mtaji ni 2 ml kwa hyo hapo inabidi nianze na chupa lkn sehem iwe nzuri kiasi kwamb ata mtu mwenye uwezo anaweza kuja kunywa au asiye na uwezo anaweza kuja kunywa pia
Sisi waswahili sehemu ukiwa nzuri hatuji.
 
Coffee Shop ni Biashara nzuri inayokua kwa kasi maeneo ya miji yenye watu wengi. Wazo zuri, ila kufungua ya coffee Shop ya kisasa kwa mtaji huo wa 2M ni ndogo hasa ukizingatia mahitaji yake ya vifaa na vitendea kazi yana gharama sana, bila kusahau mgahawa wenyewe unatakiwa uwe na eneo kubwa kidogo kuweza kuweka walau meza 4 hadi 10 na mandhari ya utulivu. Nakushauri anza na kidogo kulingana na ulichonacho kwa sasa. Fanya yafuatayo :

  • tafuta eneo kubwa lililo barabarani na kwenye mzunguko wa watu wengi hasa wa maofisini kisha lipia
  • fanya ukarabati na ubunifu wa muonekano wa eneo lako kwa kutumia materials za bei nafuu na vitu vichache

  • Anza na kuuza bites, juice, smoothies, milk shakes, mocktails na vinywaji vya chai vya kawaida kisha ukija kupata mtaji mkubwa ununue Espresso machine uuze coffee drinks.
  • nunua display hata used kwa ajili ya kuweka bites, na pastries.
Asante sana kaka angu nashukuru sana kwa wazo nipo natafuta eneo hapa nikipo niko mwanza mkolan kuna watu wengi sana hakiri zangu zikawa niznawaza nitafute maeneo haya ya mkolan hapa wilayan lengo langu niwataget hao wa wizalan lakini kuhusu kahawa msemo wako mtaji unakuwa mdgo hvo nimewaza nianze na juice za kila aina ila tizi ipo kupata eneo hapa wizan ni issu but tuombeane uzima popote pale nitakpo pata eneo nitawakaribisha jf wote mkuje kutembelea nataka kufanya kitu cha tofauti kidogo aidia niliyo nayo kwa hapa tz kama ipo basi ni sehem moja tu tuombeane uzima tu.[emoji120]
 
Asante mkuu nitashukuru sana
Mkuu nimechelewa ila sijasahau naimani hizi creative za mbao utazipenda.....pia jina na uandaaji wa bango liwe simple kupiga sana chapa inakuwa uchafu....View attachment 1622275
4f299c713dfdbb8754399e3713bd0ed1.jpeg
IMG_20201108_200426_986.JPG
 

Attachments

  • IMG_20201108_200339_343.JPG
    IMG_20201108_200339_343.JPG
    84.4 KB · Views: 46
  • IMG_20201108_200426_986.JPG
    IMG_20201108_200426_986.JPG
    78.1 KB · Views: 46
  • IMG_20201108_200339_343.JPG
    IMG_20201108_200339_343.JPG
    84.4 KB · Views: 43
  • IMG_20201108_200339_343.JPG
    IMG_20201108_200339_343.JPG
    84.4 KB · Views: 45
Asanten sana kaka umejua kunifaaa wallah tena asante nimepat kitu kupitia hzo pic
hamna shida Mungu akuongoze ufanikiwe katika hitaji lako....kuna design nyingi kama kuna ambayo unaihitaji utanielekeza ilivyo nitafute picha yake
 
Nimeipenda hiyodesign ya kwanza. Hivi hizi mbao wanazotumia zinaweza ishi kwa muda gani?
hizi mbao zinaishi mda mwingi maana zinakuwa treated kabisa na dawa alafu pia kuna vanish kwajuu so sio rahisi kuoza au kuharibika .... Zinakaa muda mwingi
 
Back
Top Bottom