Elimu kuhusu mgahawa wa kahawa

linahbaby

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
1,087
3,084
Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa vya aina yote bila kukosa keki.

Sasa shida yangu ni ushauri naanzia wap mtaji wangu ni wa milion 2 tu.

Na sina utaramu wa kutengeneza keki na hvo vikololo vingine

Sitaki mgahawa mkubwa nataka mudgo mdogo tu ila uwe wa kisasa kiasi kwamba mtu yeyeto anaweza ingina
Mnishauri pa kuanzia na nini cha kufanya kbla ya kuanza.
 
Mim mpenz wa kahawa ndio kinywaj changu mwaka wa 20 huu.hata saa saba mchana utanikuta na gahawa.sasa mzee kwa mil 2
mgahawa wa kisasa.inawezekana.
upo location gan? mana coffee shop zina watu wake.

Mana zile expresso mashine bei zak3 used mpk laki 7 na kuendelea.
vikororko vingine easy tu keki mandaz unaweza kupikisha kwa mtu ukalangua.shida ujue kwanza location ya coffee shop yako.

Unless unataka kufungua mgahawa wa kuikuta chai kwenye chupa.au kahawa kwenye chupa.
mim nikisikia coffee shop najua nikitaka Latte,expreeso,au cappucino
 
mim mpenz wa kahawa ndio kinywaj changu mwaka wa 20 huu.hata saa saba mchana utanikuta na gahawa.sasa mzee kwa mil 2
mgahawa wa kisasa.inawezekana.
upo location gan? mana coffee shop zina watu wake.
mana zile expresso mashine bei zak3 used mpk laki 7 na kuendelea.
vikororko vingine easy tu keki mandaz unaweza kupikisha kwa mtu ukalangua.shida ujue kwanza location ya coffee shop yako.
unless unataka kufungua mgahawa wa kuikuta chai kwenye chupa.au kahawa kwenye chupa.
mim nikisikia coffee shop najua nikitaka Latte,expreeso,au cappucino
Ndio mkuu kila kitu kinaenda na hatua ndo maan nikasema mtaji ni 2 ml kwa hyo hapo inabidi nianze na chupa lkn sehem iwe nzuri kiasi kwamb ata mtu mwenye uwezo anaweza kuja kunywa au asiye na uwezo anaweza kuja kunywa pia
 
kikubwa tafuta ka hela kidogo u print tangazo zuuuri kabisa mwambie designer akuwekee kahawa usidharau power of advertising.sis tulikua tunauza juis home ila watu wanajaa kwa tangazo la kuprint tu halizid elfy30.
Screenshot_20201007-154234.jpg
 
Me niko mwanza sema nilitaka kuifungulia maeneo ya mjini maeneo ya Nyamagana pale kama mwenyeji

Yaah mwanza ni mwenyeji kiasi chake, pale ni pazuri ukiweka na ku brand vizuri utaweza kupiga pesa, mfano ukipata bahati nenda maeneo ya sinai/ maziwa pale karibu na miti ya popo ukaone kuna mgahawa umefunguliwa unaweza chukua mambo machache ya kujifunza au nenda eneo la kule njia ya mlango mmoja kupanda kama parokiani napo utapata cha kujifunza.......... na ila ukifanikiwa jaribu kutafuta eneo around liberty street uza chakula kizuri price tag nzuri utauza vizuri sana.
 
Uko wapi?
Wateja wa kahawa huwa ni Wazungu na wabongo walio enda mbele, kwa sisi na mie aseee itakula kwako
Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa vya aina yote bila kukosa keki.

Sasa shida yangu ni ushauri naanzia wap mtaji wangu ni wa milion 2 tu.

Na sina utaramu wa kutengeneza keki na hvo vikololo vingine

Sitaki mgahawa mkubwa nataka mudgo mdogo tu ila uwe wa kisasa kiasi kwamba mtu yeyeto anaweza ingina
Mnishauri pa kuanzia na nini cha kufanya kbla ya kuanza.
 
Nigahawa ya aina hiyo Arusha au Moshi unakutaga ni wazungu tupu wabongo ni wa kuhesabu tena ni wale walio wahi kutoka
Me niko mwanza sema nilitaka kuifungulia maeneo ya mjini maeneo ya Nyamagana pale kama mwenyeji
 
Yaah mwanza ni mwenyeji kiasi chake, pale ni pazuri ukiweka na ku brand vizuri utaweza kupiga pesa, mfano ukipata bahati nenda maeneo ya sinai/ maziwa pale karibu na miti ya popo ukaone kuna mgahawa umefunguliwa unaweza chukua mambo machache ya kujifunza au nenda eneo la kule njia ya mlango mmoja kupanda kama parokiani napo utapata cha kujifunza.......... na ila ukifanikiwa jaribu kutafuta eneo around liberty street uza chakula kizuri price tag nzuri utauza vizuri sana.
Yeah nini plan kubwa sana sema nataka nianze na kidgo iko kwa sababu ya mtaji ila oneday lengo langu litatimia natamani kuwa na sehem amazing kiasi kwamba ata wagen wanao kuja kutembelea mwnza wasikie sifa na uzuri wa mgahawa wangu mungu tu anijalie
 
Uko wapi?
Wateja wa kahawa huwa ni Wazungu na wabongo walio enda mbele, kwa sisi na mie aseee itakula kwako
Wazungu ni wtu wa kupita mkuu ingekuwa ya wazungu inegeenda fungulia america lkn kama imefunguliwa bongo hapa basi watu wanatumia alafu ata siku na moja usijali kumkatisha mtu tamaa tunafeli kwa kukosa maarifa na uoga wa kuofia kuanguka lkn kumbe kuanguka na kupanikiwa kupo tu anajua mungu
 
Mim mpenz wa kahawa ndio kinywaj changu mwaka wa 20 huu.hata saa saba mchana utanikuta na gahawa.sasa mzee kwa mil 2
mgahawa wa kisasa.inawezekana.
upo location gan? mana coffee shop zina watu wake.

Mana zile expresso mashine bei zak3 used mpk laki 7 na kuendelea.
vikororko vingine easy tu keki mandaz unaweza kupikisha kwa mtu ukalangua.shida ujue kwanza location ya coffee shop yako.

Unless unataka kufungua mgahawa wa kuikuta chai kwenye chupa.au kahawa kwenye chupa.
mim nikisikia coffee shop najua nikitaka Latte,expreeso,au cappucino
Ha hahaaa. Migahawa ya kukuta chai imeungwa sukari kabisa!!
 
Back
Top Bottom