Elimu Igunga inaangamia jamani: Watoto wanakimbia sekondari!

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Nipo Igunga mapumziko. Kuna kijiji cha jirani (20km) watoto walifaulu 42 wote wakaripoti shule. Baada ya mwezi wameacha shule na sasa kati ya hao 42 wamebaki 5 tu.

Igunga inakwenda wapi? Mbunge anajua hilo? Wazazi huku wahonga viongozi ili watoto wao wafutwe shule! Ni kama hadithi lakini ndiyo live news.

Hivi huko tuendako hii jamii ya hapa itakuwa wapi?
 
Kashauriane na mbunge wako, wadau wa elimu wilaya ukishindwa ndo uje hapa na kuanza kupayuka
 
Duuuu!! poleni sana ila hard working pays komaeni hivyohivyo.
PIA HUJAELEZEA SABABU YA HAO WANAFUNZI KUACHA SHULE
 
Wanaenda skuli kufanya nini sasa? Ikiwa wamelazimishwa, unategemea nini??
 
Waheed unachemka. This is whisle blowing. Mbunge utampata wapi? Ok. NingaR watoto wanaacha shule ili wachunge ng'ombe! Mzazi anamwambia mwanae kuwa sekondari itakula sehemu ya mali yake hivyo kwa kukataa sekondari mgao wake utakuwa mkubwa zaidi. Ni ngumu kuelewa ila ni hatari.
 
Back
Top Bottom