Eleza faida na hasara za kuwa na mtu huyu.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
swali langu ndio linamlenga huyuuuuuu

mgongo.jpg
 
...hapa kwa kweli naona FAIDA tupu...!huyu mhindi wa aina yake...
 
Wewe sasa ndo hasara! Nani kakuambia muhindi huyu? Ukiuziwa mbuzi kwenye gunia unistue tukafanye mtiti,lol

haha.. King'asti muhindi huyu bana...mmezoea zao ni kuingikia makalio bafuni sio?....
 
Last edited by a moderator:
mmh, hapa ni hasara tu
utashindwa kwenda kazini hadi ufukuzwe.
 
umeiona na sura yake au nyuma 2!
m faida yake nadhan n binadam yupu kwa ajir ya kuwasaidia pia wanadam wengne bac
 
hapo kuna hasara za kutosha yaani nikizindika hizo hasara naweza nikajaza booklet 3
 
1. Ugonjwa wa moyo
2. Huna amani
3. Kuangaliwa kila sehemu utayopita nae
4. Kugeuzwa bushoke ndani ya nyumba(utaosha vyombo mpaka mikono iote sugu)
5. utakosa muda wa kupumzika coz kila ukimuangalia tu tayari..!!
6.utaishiwa nguvu na mwili kudhoofu 7bu ya kunanihii kila mara

uchumi uta-comedown kila siku! Tehtehtehtehteh!!
 
utagombana na rafiki zako bureeeeeeeee! kisa huo ugonjwa wa moyo, presha ya kupanda au kushuka, kisukari, vidonda vya tumbo wenge etc
 
Back
Top Bottom