Electronics projects ideas

Katika mambo magumu mwaka wa mwisho ni uchaguzi wa project title kisha unajiaandaa vizuri kuitetea inakataliwa mchana kweupe.

Kitu kingine ni prototype implementation vijana wanapata tabu sana, mtu yupo final year ndio anaona kwa mara ya kwanza resitor, inductor, sijui capacitors kwa macho, miaka yote minne ni ma theory tu, halafu lecturers wanavojua kukaza utadhani waliwajengea msingi tangu 1st year.

Binafsi naona hizi project hazina tija kwasababu wengi hawafanyi wenyewe wanafanyiwa na hili ni tatizo la vyuo sio wanafunzi.

Ebwanaee ukipata idea nitafute kama ratiba yangu itaruhusu nipate pesa hapa naona kuna fursa😁
 
Katika mambo magumu mwaka wa mwisho ni uchaguzi wa project title kisha unajiaandaa vizuri kuitetea inakataliwa mchana kweupe.

Kitu kingine ni prototype implementation vijana wanapata tabu sana, mtu yupo final year ndio anaona kwa mara ya kwanza resitor, inductor, sijui capacitors kwa macho, miaka yote minne ni ma theory tu, halafu lecturers wanavojua kukaza utadhani waliwajengea msingi tangu 1st year.

Binafsi naona hizi project hazina tija kwasababu wengi hawafanyi wenyewe wanafanyiwa na hili ni tatizo la vyuo sio wanafunzi.

Ebwanaee ukipata idea nitafute kama ratiba yangu itaruhusu nipate pesa hapa naona kuna fursa
Hizo mishe ni pasua kichwa sana, Mana Unakuta hivo vi electronics components una vi solder ila ukifika tu kwa test bench ukipa supply hakuna kitu unabeba unasepa
 
Embu nijuze Zaid hi technology mkuu wang
Hii project inatumia electronic circuit kutengeneza frequency ya sauti ambayo haisikiki na binadamu na hufukuza wadudu waharibifu na wanyama kama panya na kadhalika. Sasa hii system unaweza kupata circuit zake online halafu ukamodify kufit target market yako kama kuwafungia wakulima kuzuia wadudu waharibifu mashambani, kwenye maghala, na majumbani kufukuza nzi, mende, mbu, kunguni na kadhalika.
 
Habar za jion wadau

Kama uzi unavyojieleza apo juu nilikua naomba mdau mwenye idea za Project za Electronics atushirikishe
Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.
Tupo Moshi ,Kilimanjaro
kama una interest tuwasiliane --0717157640
 
Kilichonisikitisha chuo ni kupewa budget ya 150000 na loarn board.
Prohect ta maana unaweza ifanya kwa kilo na 1/2!!!
 
Back
Top Bottom