Electricity Act, latest ammendment

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
mabingwa naombeni soft copy ya latest ammendment ya Sheria ya Umeme ( Electricity Act). ambayo ninayo ni ile ya mwaka 1931.
please.
 
naombeni soft copy ya latest ammendment ya Sheria ya Umeme ( Electricity Act). ambayo ninayo ni ile ya mwaka 1931.
please.
Sina electricity act ila hii 'energy policy inaweza kukusaidia', fungua ukurasa wa 15/36 na 16/36 ndio utakuta mambo ya umeme...ukipata electicity act kindly plz ni PM...
 

Attachments

  • The energy policy of Tanzania.pdf
    3.9 MB · Views: 94
Pape Asante.
nimeipata. ipo katika website ya Bunge la Tanzania. thread ya documents then ingia Acts.
 
Back
Top Bottom