Einstein theories of relativity..Mambo magumu kuelezea

Einstein theories of relativity..Mambo magumu kuelezea

In relativity, the fourth dimension is time.

Katika maisha ya kawida ili ujue kitu kipo wapi lazima uwe na coordinates, X, Y and Z (forward/backward, left/Right and Down/Up).

Sasa kwa concept hiyo nikikuelekeza uje hapa nilipo. Nitakwambia nyosha kutoka hapa ulipo kwa km 10 (X-coordinate), then kati kulia tembea km 20(Y-coordinate) ukifika hapo utaona ghorofa panda juu floor ya saba (Z-Coordinate).

Ukija nakuhakikishia hutanikuta kabisa maana sijakwambia coordinate/dimension moja ya msingi ambayo ni time kwamba mda gani nitakuwa hapo.

So if time ni coordinates/dimension ili kukamilisha directions i will tell you where and when I will be. 5km forward,(X) 10km right(Y) and 4 floors up,(Z) at 12:00am yesterday (time).

But many different observers (possibly moving observers) wanaweza observe the object at different coordinates from one another. Some may even observe the object moving. This doesn't matter however: if we know how each observer is moving, we can go from one set of coordinates to another, through what is known as a linear transformation.

But time is different. Suppose we watch a ball move erratically between two points A and B. Many different observers will give you many different accounts of the ball's coordinates. Some observers may not even see the ball change coordinates at all, if their motion happens to match the ball's. But one thing they can all agree on is the time taken for the ball to move from A to B. Time in this sense is fixed and agreed upon by everyone.

Relativity proposes however that different observers fail to agree even on the time taken. Before, they didn't agree in the space coordinates, but it didn't really matter: these three dimensions can be easily transformed from one observer to another. Now, they don't agree on space coordinates AND time, but special relativity saves the day and shows us how to transform from one set of coordinates and time to another, using a linear transformation once again.

Time has therefore been reduced to an entity that is really much like the three spatial coordinates, and that is why it is rightly regarded as a fourth dimension.

Spce-time should never be confused with time, there is space, time and spacetime. But as long as time is wrapped into space curvature in spacetime affects the fourth dimension.
Young being, stop playing stupid mind games! I have shown you the logical inconsistency of your previous posts that you asked about, now why are you trying to act smart when you're not? now if you want to break the loop of keeping on showing your stupidity, then do a very simple clever deduction as follows, First, admit you were/are wrong in most of your posts, Second, correct the mistake, Third, wait for my response(i will either let it slide, or help you fix all of the stupid mistakes you made, or keep proving how stupid and arrogant you are) Between all those possibilities i have mentioned, it's I who decide what is best for you, not you. Very simple like that, stop going around circles, you're not smart as you think, you're just less stupid than the rest of the dumb beings. You're basically helping me to execute the 3 section of the third option, You're proving how stupid and arrogant you are.

PS: You're the one that keeps on confusing a complete dimension with its very own axis. In all of my statements, i have never reject the existence of time when i was trying to explain the Theory of relativity, rather i reject chini, kudumbukia, kushuka etc, and the distinction between past, present, and future that you were/are using on your posts to explain the Theory of relativity. I repeat and don't quote me wrong next time please, YOU CAN'T EXPLAIN EINSTEIN'S THEORY OF RELATIVE USING THREE DIMENSION LAWS.
 
Mkuu kwanini usijifunze mambo marahisi tu kama vile "Jinsi ya kupata hela za majini"....haya magumu ukawaachia wajukuu wa wajukuu zake na wajukuu wa wajukuu wako!
 
*** you man, you are childish. I can't argue with you.
Young being, stop playing stupid mind games? I have shown you the logical inconsistency of your previous posts that you asked about, now why are you trying to act smart when you're not? now if you want to break the loop of keeping on showing your stupidity, then do a very simple clever deduction as follows, First, admit you were/are wrong in most of your posts, Second, correct the mistake, Third, wait for my response(i will either let it slide, or help you fix all of the stupid mistakes you made, or keep proving how stupid and arrogant you are) Between all those possibilities i have mentioned, it's I who decide what is best for you, not you. Very simple like that, stop going around circles, you're not smart as you think, you're just less stupid than the rest of the dumb beings. You're basically helping me to execute the 3 section of the third option, You're proving how stupid and arrogant you are.
 
**** you man, you are childish. I can't argue with you.
Well, You're stupid and arrogant and i can prove that.

The conclusion is, huijui Theory of relativity. And last time i checked, Kipofu hawezi kuwaelekeza njia vipofu wenzie. Next time epuka kujibu Facts kwakutumia kantangaze, Scientific Facts sio umbea unaweza kuubadili badili utakavyo.

PS: Again, Stop confusing a complete dimension with its very own axis. In all of my statements, i have never reject the existence of time when i was trying to explain the Theory of relativity, rather i reject chini, kudumbukia, kushuka etc, and the distinction between past, present, and future that you were/are using on your posts to explain the Theory of relativity. I repeat and don't quote me wrong next time please, YOU CAN'T EXPLAIN EINSTEIN'S THEORY OF RELATIVE USING THREE DIMENSION LAWS.
 
Duh!!mkuu unaishi mwaka 2019 ila una akili za mwaka 1247![emoji16][emoji16][emoji16]
wewe umemaliza mkuu.
Kuna vitu ukiviangalia unaona kabisa ni uongo mtupu.

Dunia haizunguki bhana.ipo vile vile.

Labda jua na mwezi.
 
Mkuu usirudi nyuma,tuletee part three please.Kama yeye yupo nondo zaidi yako aanzishe uzi wake,yaani akupinge kwa kuanzisha uzi bora zaidi yako na siyo kupiga mikwara ya hapa na pale![emoji1][emoji1][emoji1]
**** you man, you are childish. I can't argue with you.
 
Dunia haizunguki mkuu ni fix tu.
Mkuu ishu ya dunia kuzunguka jua ni logic ndogo sana ya chekechea kwa sababu unaweza kuprove hata kwa kutumia video camera yaani ukatumia tu video kamera ukaona kwenye video jinsi dunia inazunguka jua!![emoji16][emoji16][emoji16]......sasa mkuu kama ishu ndogo hivyo inakutisha ukiletewa mambo ya quantum physics si utazimia kabisa!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
EMBU TURUDI KWEMA NAMNA YA KUPUNGUZA LINDI LA UMASKINI kwa kutumia poverty relativity theort
 
Mkuu ebu nipe elimu hyo niifanye mwenyewe nione kama kweli ama fix tu.
Mkuu ishu ya dunia kuzunguka jua ni logic ndogo sana ya chekechea kwa sababu unaweza kuprove hata kwa kutumia video camera yaani ukatumia tu video kamera ukaona kwenye video jinsi dunia inazunguka jua!![emoji16][emoji16][emoji16]......sasa mkuu kama ishu ndogo hivyo inakutisha ukiletewa mambo ya quantum physics si utazimia kabisa!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hivi superposition ambapo kitu kinaweza kuwa sehemu mbili na entanglement kwenye quantum physics vina uhsiano na theory za Einstein? Hata Einstein ziimchanganya akasema ni spooky action. Watu Wa quantum mechanics mnasemaje , Mimi ni just a Lyman huwa napenda kusikiiza hivyo vitu kwa JIM KHALIL mwarabu Wa Iraq ni professor uingererza. Anavyoponda biology kuwa wataendelea kutumia vifaa viivyotengenezwa na Physicists usombe . Yupo you tube na lecture zake huchoki tens with a down to earth simplified language, si lazima uwe mbobezi Wa quantum mechanics.ndio umwelewe . Future ya science iko huko kwenye quantum has a watakapogundua computer zake
 
Practically haiwezekani universe kurudi nyuma, ila theoretically in a layman explanation, unaweza kutengeneza time machine au system ukaingia humo ukaishi na ukarudi nyuma in time lakini ila ukitengeneza saiv huwezi kurudi utahitaji infinity energy kucreate hiyo system maana inabidi uwe unaenda zaidi ya speed ya mwanga ambapo utakua umeviolet quantum mechanics na relativity sababu kitu kinacho karibia mwanga mass yake huongezeka hivo kinakua kizito na gravity inakua kubwa...na ukifikia au kuzidi speed ya mwanga relativity ya Einstein inakua invalid tunaisahau unaunda branch ya physics yako mpya ambayo sio relativity tena nahisi itakua Variant infinity theory..au Newton theory inakua universally non doubted tena na nazani Tesla Dynamic theory of gravity, aether theory inakua valid pia..mkuu
Sisi variables tunakuwa wapi hayo yote yakitokea si tutayeyuka in the process?
 
Hivi superposition ambapo kitu kinaweza kuwa sehemu mbili na entanglement kwenye quantum physics vina uhsiano na theory za Einstein? Hata Einstein ziimchanganya akasema ni spooky action. Watu Wa quantum mechanics mnasemaje , Mimi ni just a Lyman huwa napenda kusikiiza hivyo vitu kwa JIM KHALIL mwarabu Wa Iraq ni professor uingererza. Anavyoponda biology kuwa wataendelea kutumia vifaa viivyotengenezwa na Physicists usombe . Yupo you tube na lecture zake huchoki tens with a down to earth simplified language, si lazima uwe mbobezi Wa quantum mechanics.ndio umwelewe . Future ya science iko huko kwenye quantum has a watakapogundua computer zake
Hiyo inakuwa na uhusiano linapokuja swala la speed of light. Under quantum entanglement particle zinarun kuliko speed ya light.

E.g una Atom moja nyekundu ipo marekani na Atom nyingine ya Blue ipo Dar es salaam zikiwa kwenye quantum entanglement huwezi ukajua ipi iko wapi [emoji3]. Mpaka uicheck moja ndo utajua nyingine ipo wapi. Yaani ukishika hii ya marekani iko ya blue then ya dar inakuwa nyekundu then ikijaribu tena kuchukua ya Marekani ikawa nyekundu ya dar inakuwa ya blue, yaani ni kama zote mbili zipo Dar na Marekani at the sametime. Yaani ni tabu tupu. Yaani Regardless of distance hali ya Atom inaathiri hali ya atom nyingine.

facebook.gif
 
Duh!!!
It doesn't exist, it is fiction supported by Hollywood movies. Just like Einstein who invented nothing to elevate human kind except fictitious theories that can not be proved.
 
Hiyo inakuwa na uhusiano linapokuja swala la speed of light. Under quantum entanglement particle zinarun kuliko speed ya light.

E.g una Atom moja nyekundu ipo marekani na Atom nyingine ya Blue ipo Dar es salaam zikiwa kwenye quantum entanglement huwezi ukajua ipi iko wapi [emoji3]. Mpaka uicheck moja ndo utajua nyingine ipo wapi. Yaani ukishika hii ya marekani iko ya blue then ya dar inakuwa nyekundu then ikijaribu tena kuchukua ya Marekani ikawa nyekundu ya dar inakuwa ya blue, yaani ni kama zote mbili zipo Dar na Marekani at the sametime. Yaani ni tabu tupu. Yaani Regardless of distance hali ya Atom inaathiri hali ya atom nyingine.

View attachment 1078434
Mkuu unajua Haisee Naisubir hiyo sehemu ya3 huyo mbwa hapo Juu achana nae anajifanya anaakili kumbe ndez mmoja iv achana nae nakusubir mkuu we ni Hatari unajitahidi kusoma na kuandika I apreciate Dat[emoji41]
 
Back
Top Bottom