Einstein theories of relativity..Mambo magumu kuelezea


Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,525
Points
2,000
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,525 2,000
Practically haiwezekani universe kurudi nyuma, ila theoretically in a layman explanation, unaweza kutengeneza time machine au system ukaingia humo ukaishi na ukarudi nyuma in time lakini ila ukitengeneza saiv huwezi kurudi utahitaji infinity energy kucreate hiyo system maana inabidi uwe unaenda zaidi ya speed ya mwanga ambapo utakua umeviolet quantum mechanics na relativity sababu kitu kinacho karibia mwanga mass yake huongezeka hivo kinakua kizito na gravity inakua kubwa...na ukifikia au kuzidi speed ya mwanga relativity ya Einstein inakua invalid tunaisahau unaunda branch ya physics yako mpya ambayo sio relativity tena nahisi itakua Variant infinity theory..au Newton theory inakua universally non doubted tena na nazani Tesla Dynamic theory of gravity, aether theory inakua valid pia..mkuu
Ant man And the wasp kidogo imegusia hili,.
Pia Lost Lost wamepotray both Future and Past time travelling

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
7,547
Points
2,000
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
7,547 2,000
Kwa hiyo mkuu unamaanisha ukiwa kwenye black hole unaweza kutravel back in time?
Nadharia inaonyesha ukiweza survive kutokea upande wa pili ni utakuwa umerudi nyuma ya muda!..
Tatizo hakujawahi onekana black hole za kujaribu till last week!.. ingawa black hole ni kuzaliwa na kufa kwa sayari.
 
Chenchele

Chenchele

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Messages
1,479
Points
2,000
Chenchele

Chenchele

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2016
1,479 2,000
Nadharia inaonyesha ukiweza survive kutokea upande wa pili ni utakuwa umerudi nyuma ya muda!..
Tatizo hakujawahi onekana black hole za kujaribu till last week!.. ingawa black hole ni kuzaliwa na kufa kwa sayari.
Wormhole haina event horizon, kitakacho ingia kinaweza kutoka ila blackhole ina event horizon unaweza kwenda na usirudi tena sababu ya gravitation effect
 
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,251
Points
1,500
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,251 1,500
Time travel is far beyond our knowledge. Its a paradox in todays world may be next centuries.
It doesn't exist, it is fiction supported by Hollywood movies. Just like Einstein who invented nothing to elevate human kind except fictitious theories that can not be proved.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
11,009
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
11,009 2,000
Siyo kweli!Kwenye eneo la black hole gravity ni kubwa sana kiasi kwamba travel in time(ile ya kurudi nyuma) inawezekana!
Yah kwamba mwanga hauna nguvu ya kugonga hapo na kurudi, unamezwa, ndio maana wakipiga picha zinasoma huo weusi.
 
Wordsworth

Wordsworth

Senior Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
166
Points
500
Wordsworth

Wordsworth

Senior Member
Joined Jan 14, 2019
166 500
Siyo kweli!Kwenye eneo la black hole gravity ni kubwa sana kiasi kwamba travel in time(ile ya kurudi nyuma) inawezekana!
Hahahaha hakuna tunachojua kuhusu ndani ya blackhole. Watu wapo na theories tu.
Kama unaongelea event horizon basi you are highly misinformed.
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
17,997
Points
2,000
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
17,997 2,000
Hahahaha hakuna tunachojua kuhusu ndani ya blackhole. Watu wapo na theories tu.
Kama unaongelea event horizon basi you are highly misinformed.
Acha kudanganya,acha kuongea bila facts!!

Kasome vitabu vya bingwa wa theoritical physics Stephen Hawking vya A Brief history of time,Brief answers to the big questions na The grand design
img_20190415_141848-jpeg.1072018
 
M

Mtafutaji hachoki

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Messages
305
Points
250
M

Mtafutaji hachoki

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2015
305 250
labda umeshindwa kuelewa kwamba sisi tupo nje ya dunia na sayari ya dunia haipo ndani ya galaxy yoyote ile bali milk way galaxy ndo galaxy ambayo inaonekana kwa ukaribu katika sayari ya dunia na hiyo milk way galaxy ndo galaxy ambayo ina contain solar system yetu kwaiyo atuwezi kusema tupo ndani ya milk way galaxy kwasababu tungekuwepo ndani ya milk way galaxy pasingekuwa na uwezekano wakuona sayari nyingine ukiwa dniani
Kwa uwelewa wangu ni kwamba wanadamu tunaishi duniani..
sasa Kama tena tupo nje ya dunia huko ndani ya dunia ndo wapi? Au ndo kaburini
Doh! hapa mmeniacha kwa kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
4,678
Points
2,000
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
4,678 2,000
Ukiielewa hii topic 100% na ukaweza kuiaply lazima uapte dalili.ya uchizi
 
Chenchele

Chenchele

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Messages
1,479
Points
2,000
Chenchele

Chenchele

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2016
1,479 2,000
It doesn't exist, it is fiction supported by Hollywood movies. Just like Einstein who invented nothing to elevate human kind except fictitious theories that can not be proved.
Not true, kama huijui GPS na vipi inafanya kazi basi Einstein relativity ni fiction upande wako mkuu
 
Wordsworth

Wordsworth

Senior Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
166
Points
500
Wordsworth

Wordsworth

Senior Member
Joined Jan 14, 2019
166 500
Acha kudanganya,acha kuongea bila facts!!
Kasome vitabu vya bingwa wa theoritical physics Stephen Hawking vya A Brief history of time,Brief answers to the big questions na The grand designView attachment 1072018
Kweli umevisoma hivo vitabu au unaropoka? Kwanza ungeelewa kuna aina tofauti za blackhole. 😂😂 Eti ukiingia kwenye black hole unaenda back in time. Mambo sio rahisi rahisi kama unavofikiria.
Mpaka sasa zote zilizopo ni theories na hakuna tunachojua kitakachotokea endapo mtu ata vuka event horizon na kuingia kwenye blackhole.
 
K

klementos

Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
71
Points
150
K

klementos

Member
Joined Aug 29, 2017
71 150
Theory za relativity za mwanafizikia nguli Einstein ambazo imekuwa ngumu kuzielewaga ni;-
1. Special relativity ( spacetime)
2. General relativity(gravitation)
 
Prince Mujubu

Prince Mujubu

Senior Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
178
Points
225
Prince Mujubu

Prince Mujubu

Senior Member
Joined Jun 7, 2016
178 225
It doesn't exist, it is fiction supported by Hollywood movies. Just like Einstein who invented nothing to elevate human kind except fictitious theories that can not be proved.
Time travel sio fiction mkuu ni kwamba technology bado haijakua advanced kuweza kutengeneza machines au devices ambazo zitakua capable to travel in time,mfano mwanafizikia Stephen Hawking katika kitabu chake cha The brief history of time ali state if an object travel faster than a speed of light can experience time travel alizungumza kwa kirefu vitu kama wormholes na black holes ukijaribu kufatilia utaona mwenyewe. Na unaposema Einsein alikua na fictitious theories hapana ni ye ndo alistate E = mc2 na inatumiwa na nuclear physicists had karne hii ya leo/
 

Forum statistics

Threads 1,284,199
Members 493,978
Posts 30,817,022
Top