88 kwa Mbeya Hua Ni Kubwa Kuliko Eid na Krismas, Toka Zamani,

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Fact
Toka nimeifahamu Mbeya miaka 25 sasa, sikukuu za 88 zina ushabiki mkubwa kuliko Eid zote, Krismas, na Pasaka yaani weka sikukuu zote unazojua hua haziifikii 88 kwa vibe.
Na hii ni kwa Mbeya tu ,
88 Mbeya kila mji hupikwa pilau, Nyama na Nyama choma, lodge zote hujaa, Watoto kwa watu wazima Huvaa nguo mpya kabisa,
Sehemu zinazouza vinywaji hua hadi wanaishiwa iwe pombe au vinywaji baridi,
Hakuna mkoa unawafikia mbeya kwa sherehe kama hizo, yaani hata iwe labda kitaifa inafanyikia mwanza kamwe hawawezi kuwafikia watu wa mbeya,
Watu wa mbeya husafiri kutoka maeneo mbalimbali na kurudi Mbeya kusherehekea sikukuu za nane nane hasa pale wapatapo nafasi,
Kama una rafiki mbeya siku ya leo akikualika kwake ujue pana kitu cha mtume matata sana.
 
Hujafika Mugumu huko Serengeti ukaona maajabu ya 8,8

Mbeya ni mwisho wa kazi kwa nchi nzima wanaongoza kwa vibe, maana leo najua miziki itakesha usiku kucha na wao hua ni wiki nzima kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 10 ni sherehe kubwa sana
 
Back
Top Bottom