abdulqadirj
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,020
- 3,207
Eid Mubarrak wana Jf,
licha ya utofauti wa kiimani baina ya islam na christian ila Watanzania tumekua ni watu wamoja. Na tumeunganishwa na utanzania wetu. Sikuu ya kiislam huwa ni sikukuu ya taifa zima na ya kikristo pia vivyo hivo, jambo la kumshukuru sana mungu.
Kwa upande wako sikukuu ipi huwa inabamba zaidi kati ya Eid, pasaka na xmass.
Kwa upande wangu mimi huwa inaanza Eid hii ya ramadhani Then Xmass. Na sio kwamba kwa sabab mim ni muislam ila nikiangalia hata mwamko tu wa wananchi, na sehemu za kufurahia katika hizi sikukuu zote hii siku huwa ina shamra nying mno.
Karibuni pilau