Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,423
- 29,962
Hii ni Pre Eid.Kesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.
Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.
Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)
Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..
Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
Inshaalah,matazamio ya mwezi ni leo jumapili,kama ujaonekana tunakamilisha 30.wanaofata fatua ya Wakimataifa ushatoka
ila kwa fatua ya maeneo yenu leo ni 28 kuangalia mwezi ni kesho
Chifu mkuu samahani kama nitakukwaza hivi mkuu darasani achana na madrasa umeingia kweli ?Waislamu wa dunia nzima wote ni ndugu.
Waislamu waliopo mashariki mwa Dunia na waliopo magharibi, kusini na kaskazini wote ni ndugu.
Mungu wao ni mmoja, mtume wao ni mmoja, kitabu chao ( Qurani ) ni kimoja na kibla Chao ni kimoja.
Ni jambo jema wakifunga na kufungua pamoja.
Mipaka kati ya nchi moja na nyingine imewekewa na wanasiasa kwa faida na maslahi ya kisiasa .( Nchi nyingi barani Afrika mipaka yake imewekwa na wakoloni)
Na mipaka hii hubafilika mara kwa mara kwa maslahi na faida za kisiasa.
Kwa msimamo wa kwamba KILA NCHI NA MWEZI WAKE! hadi tarehe 25 April 1964 waislamu wa Tanganyika walikuwa na mwezi wao na waislamu wa Zanzibar walikuwa na mwezi wao.
Mara baada ya muungano April 26 , 1964 mwezi mmoja ukazamishwa baharini ukapotea ( sina uhakika kama mwezi uliopotea ni ule wa Tanganyika au mwezi wa Zanzibar ndio uliopotea!)
Hadi mwaka 2010 waislamu wa Sudani ya kusini na kaskazini walikuwa wanafunga kwa mwezi mmoja kwa kuwa Sudani ilikuwa moja tu bila kujali kwamba kuna kusini na kaskazini.
Kutokana na migogoro ya kisiasa mwaka 2011 Sudani ya kusini ikajitenga toka Sudani ya kaskazini.
Kwa msimamo wa KILA NCHI NA MWEZI WAKE waislamu wa Sudani kusini ikabidi watafute mwezi wao kwakuwa hawawezi kufunga kwa mwezi ulioandama Sudani ya kaskazini wakati hiyo ni nchi tafauti.
Kwa maslahi na faida za WANASIASA yaliyotokea Sudani siku moja yaweza yakatokea Tanzania.
Kwa maslahi na faida za WANASIASA haitashangaza siku moja kuwa na Tanzania ya mashariki na Tanzania ya magharibi, au Tanzania ya kusini na Tanzania ya kaskazini . Je itakuwa kila nchi zikitengana tunatafuta mwezi mpya na zikiungana mwezi mmoja tunauzika?!
Bakwata watataka tule Jumanne 🥴Waislamu wenzetu mnao sheherekea eid kesho,tuna watakia sikukuu njema
Eid Mubarak
Sasa palikuwa na mwezi wa Tanganyika na mwezi wa Zanzibar, Baada ya muungano tukabaki na mwezi mmoja! Sasa wewe uliyeenda darasani na madrassa unaweza kunisaidia kujua mwezi mmoja ulienda wapi baada ya muungano?!Chifu mkuu samahani kama nitakukwaza hivi mkuu darasani achana na madrasa umeingia kweli ?
Kwamba mwezi mmoja ulipotelea baharini 😂😂😂😂kuwa serious basi mkuu
😀 😀 😀 😀 😀 ngoja wajeIdd ni jumatatu na Jumanne tusiharibu utaratibu
Ndugu yetu Chifu mkuu , anafunga msimamo wake na kuupambania kana kwamba ambao Wana msimamo wa pili wamepotoka wote kwa msimamo huo , wakati jambo hili ni lenye hitilafu kubwa hata Wanazuoni wakubwa wa zama zetu wakina Sheikh Ibn Uthaymeen, Ibn Baaz na Albani (Allaah awarehemu wote) wao wametolea ufafanuzi pia suala hili vizuri na kati ya hao hakuna hata mmoja aliyesoma ni makosa kusikia mwezi mahala Fulani (nchi nyingine) Kisha usifunge au kufungua , na wengine wameweka wazi kuwa msimamo wao kuwa kila watu wafuate mamlaka katika nchi Yao mahali walipo.Wewe dini umesomea wapi?
Mbona unapotosha?
Mkuu ukishaonekana Saudi na baadhi ya wenzetu wakishaswali leo mwezi utaonekana tena juu juu tu leo usiku. Haijawahi kutokea tukapishana siku 2.Inshaalah,matazamio ya mwezi ni leo jumapili,kama ujaonekana tunakamilisha 30.
Mungu akujaze hekma, ukuondoshe na ujinga ulionaoNina demu kaninyima kisa Ramadhani.
Ngoja nimtumie ya Abaya na kukumbushia ahadi yetu.
Eid Mubarak.
Hata hizo nchi zilizotangaza kuuona mwezi zina mamufti Tena wenye elimu kushinda hawa mashehe ubwabwa wa hapa Tanzania.
Mwezi umeonekana Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu.
Hapo kuna mamufti watatu wenye elimu za kutosha ambao wamethibitisha mwezi umeonekana , Sasa Mimi niache kuwasikiliza mamufti watatu wa nchi za kiislamu ningoje ngonjera za mufti wa bakwata ?!
Nimecheka hadi mbavu zinauma, 😂😂😂😂Wanatuchanganya hawa. Wengine jumapili wengine jumatatu wengine wanasema sijui waarabu wanawahi kwa sababu wanafuata mwezi wa kimataifa, unabaki kushangaa kwamba kuna mwezi wa kitaifa na mwezi wa kimataifa
Mnafungua kwa kuuona mwezi, au timizo la siku 30? Mbna mnachanganya waja. LolFungeni kwa kuuona mwezi na fungueni kwa kuuona mwezi ama kwa kutimia siku 30. Dini hii sio ngumu unavyofikiri. Zikifika 30 kama mwezi hamjauona hairuhusiwi kuendelea kufunga.
Ona sasa ndo unazidi kuchanganya, nyie mnafuata siku 30 za mfungo, au mwandamo wa mwezi?Uislamu unafuata lunar kalenda kwa maana kalenda ya mwezi,kwahiyo lazima ufuate tarehe kutokana na muandamo wa mwezi
Hayo unayotaka wewe ni maono yako binafsi
Nadhani nimefafanua vya kutosha
Asante na kwaheri
Haya mamlaka ya kutangaza kumalizika kwa mwezi mtukufu umeyatoa wapi?Kesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.
Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.
Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)
Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..
Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
Kuna mdau amekuelezea hapo na mimi pia nimejararibu kukuelezea ila naona hujaelewa so nimeconclude kwamba unasoma ili ujibu na sio unasoma ili uelewe.Mnafungua kwa kuuona mwezi, au timizo la siku 30? Mbna mnachanganya waja. Lol
Kufunga siku ya eid ni dhambi na kula mchana wakati wa Ramadhan ni dhambi.Fungueni kwa kuonekana mwezi na Fungueni kwa kuonekaana mwezi, ukisema kuuona maana yake kipofu hawezi kufunga wala kufungua
Para ya 3 huyo mwenzako jana aliikataa, alisema ni funga ni siku 30, hakuna 28, au 29, ni 30 tyuh, na sio hiyo 31.Kuna mdau amekuelezea hapo na mimi pia nimejararibu kukuelezea ila naona hujaelewa so nimeconclude kwamba unasoma ili ujibu na sio unasoma ili uelewe.
Ngoja niiweke namna hii tunafunga kwa kutegemea kufunga na kufungua kwa kuuona mwezi. Mwezi unaweza kuwa mzunguko wa siku 29, 30 au 31 ni kama unavyoona February ina siku 29, Jan siku 31 na June siku 30 huwa hujiulizi kwanini??
Sasa kwenye kuuona mwezi kunaweza kuwa na changamoto mbalimbali hivyo ikitokea imefika siku 30 za kufunga hupaswi kuendelea tena. Kama utakuwa una nia ya kuelewa utakuwa umeelewa sasa ila kama ni nia ya kukosoa na kukashifu hutaweza kuelewa
Muandamo wa mwezi ila ikitokea hujauona unafunga siku 30 kisha siku inayofuata unakula Idd, sawa kipenzi cocastic? Karibu Eid kesho Kigamboni.Para ya 3 huyo mwenzako jana aliikataa, alisema ni funga ni siku 30, hakuna 28, au 29, ni 30 tyuh, na sio hiyo 31.
Ndo maana niliendelea na mjadala, nilicho kigundua, nyie wenyewe wahusika hamjui nini kinatakiwa kifuatwe, aidha siku timilifu za mfungo, au muandamo wa mwezi.
Naomba unijibu hili, EID inategemea siku timilifu za mfungo, au muandamo wa mwezi?