Ehud Barak belittled Tanzania

Ehud Barak belittled Tanzania

Some of you people really have self esteem issues.

Wake up it was a back handed insult. He could have easily made his point without mentioning Tanzania or Mauritania.

This what happens when you become one of the biggest beggers in the world. Your people lose confidence and can't even differentiate between a true statement and an insult.
 
kero langu ni kuhusu attitude ya serikali. Yaani nchi imetukanwa wenyewe wakichekelea, na ndio bado wanatoa aliko rasmi ya kuwakaribisha walo tutukana nchini! Why didn't they ask for official excuses first?

Why should Israel apologies while we are useless to them?

We are the one to apologies because they are the relatives of the superior who sponsors NEW WORLD ORDER - and that is USA.

Waswahili wana kamsemo kao kwamba akikuona wanini mwone wa kazi gani... but swali ni kwamba tuna ujasiri wa kuthubutu?
 
kuna waungwana wameishobokea Israel tuanzishe uhusiano nayo ili tupate baraka, kumbe hawatutambui kama tupo! Sasa baraka watatupa ? Na huyu 'Barak' yeye ndo anae gawa !

Hahaha,

Kina Edward Lowassa washafanya mpaka ziara za kujipendekeza huko. Inabidi wapelekewe memo kuona Wa-Israel prominent walio serikalini wanavyotutukana.
 
Kwa kweli sikuona umuhimu wa kuwaalika kuja kuitembelea Tanzania kabla ya kuomba tamko rasmi toka senior officials la kukanusha lile lakwanza!
Tripolitania? dah!

Mbona linakuja kuja kuja .......ANIA, Ni wakati sasa wa Kujiita Tanganyikja, Naamini hawaijuhi Tanzania kwani Urafiki wetu ni wa miak ya 60 enzi za Tanganyika.
 
Some of you people really have self esteem issues.

Wake up it was a back handed insult. He could have easily made his point without mentioning Tanzania or Mauritania.

This what happens when you become one of the biggest beggers in the world. Your people lose confidence and can't even differentiate between a true statement and an insult.

Honorary consul: Barak belittled Tanzania

Kasbian Nuriel Chirich says that in trying to stress importance of key euroepean countries to Israel, defense minister made disparaging remark on African country.


Tanzania's honorary consul in Israel filed an official complaint Sunday over what he referred to as disparaging remarks made by Ehud Barak last week.

Addressing the Foreign Ministry's response to harsh criticism leveled by European Union members of the UN Security Council over Israel's settlement construction in the West Bank, the Israeli defense minister said "Germany, France and Britain are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania. These are very important countries in the world and we have no interest in increasing the tensions with them."
In an official letter to Foreign Minister Avigdor Lieberman, the consul, Kasbian Nuriel Chirich, said "on behalf of the Republic of Tanzania I wish to express regret over the comments made by Defense Minister Ehud Barak, who, in an attempt to (emphasize) the importance of key European countries, chose to belittle Tanzania and even compare it to a country that does not exist."

Chirich stressed that Tanzania was the largest country in east Africa with a population of 46 million. He said Israel and Tanzania maintain extensive financial, diplomatic and security relations which go back to the early 1960s, when the African nation gained its independence.

"I would be glad if an official Israeli representative accompany on my next visit to Tanzania in January so that he will be able to experience the wonders of this vast country and its peace-seeking people," the honorary consul said.


SOURCE: Honorary consul: Barak belittled Tanzania - Israel News, Ynetnews


Si unaona hapo eheeeeee,
Sasa cha ajabu hizi hela huwa zinaenda wapi?
 
Rookie mistake, angeweza kusema Germany, Britain na France ni nchi zenye umuhimu mkubwa sana bila ya kuzi compare na Tanzania, na ku make point yake ile ile bila ya adha ya controversy.

Kiranga wewe ni mpenzi wa ukweli,hata huyu jamaa kausema ukweli ulivyo. Utanzania wetu unatufanya tuone kama tunadharilika,hivi ni kweli sisi tuna umuhimu sawa na nchi alizozitaja kwake ? angeweza kusema kama ulivyoandika hapo juu,lakini alichosema ni UKWELI...
 
Spot on! Ehud is right anias and the likes will have a long way to go. People should stop moaning as we all know that our reputations are somewhow appalling, despite the fact that we are one of the peaceful country.😛oa Merry xmass!
 
Chirich stressed that Tanzania was the largest country in east Africa with a population of 46 million. He said Israel and Tanzania maintain extensive financial, diplomatic and security relations which go back to the early 1960s, when the African nation gained its independence.

"I would be glad if an official Israeli representative accompany on my next visit to Tanzania in January so that he will be able to experience the wonders of this vast country and its peace-seeking people," the honorary consul said.

SOURCE: Honorary consul: Barak belittled Tanzania - Israel News, Ynetnews

Haa ha ha ha...

Naona huyu Chirich anafikiri umuhimu wa nchi kimataifa unatokana tu na ukubwa wake, idadi ya watu wake au uzuri wake wa asili, karaghabao!! heshima ya nchi hailazimishwi, siku tukistahili watatuheshimu na kutunyenyekea tu automatically...

Ila duh kwahiyo viongozi wetu wanavyokuwa kwenye mikutano ya kimataifa wanawaona kama kivuli tu, pole Mama Tanzania lakini umeyataka mwenyewe na unastahili kudharauliwa...
 
.....Nikikumbuka Matamko Yetu, utadhani wanatusikiliza vile.....

Tanzania government condemns Israel
THE Government of Tanzania has strongly condemned Israel's attack on a Turkish flotilla bound for Gaza strip last Monday, saying such action is inhuman, provocative and offensive.

A statement released today by the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation, said that the government had received reports of the attacks with great shock and sadness.


''The government of the United Republic of Tanzania considers the disproportionate attack against a humanitarian mission as a clear violation of international law and at the same time aggravates the suffering of the civilian population in Gaza.


''The government has received with great shock and sadness reports that the Israeli naval forces attacked a Turkish flotilla which left 10 activists dead leaving 50 others injured,'' the statement reads.


It further states that the continued Israeli blockade of the coastal territory unfairly hurts the people of Gaza.


''The government believes that the
unprovoked action taken by Israeli military is a dangerous step that exacerbates tension and undermines peace efforts in the Middle East,'' the statement reads further.

In this regard, the government is very concerned with the Israeli actions of deliberately hampering international efforts to resolve the long standing conflict in the region, according to the statement.


''The Tanzanian Government joins the international community to take firm and immediate action by conducting an inquiry into the matter,
along side calling for the government of the state of Israel to lift its blockade imposed on the Gaza strip and to allow safe passage for humanitarian relief for the innocent civilians,'' concludes the statement
​
 
Umasikini ni mbaya sana....hasa wa mawazo. Hatujamaliza la 'kameruni' linakuja la 'barak(a?)'! Hivi ametukana au kaonesha dharau au kasema anachokiamini. Binafsi napata shida kuona (u)tusi katika matamshi ya ehud.
 
Kwa kweli sikuona umuhimu wa kuwaalika kuja kuitembelea Tanzania kabla ya kuomba tamko rasmi toka senior officials la kukanusha lile lakwanza!
Tripolitania? dah!
Libya inatakiwa igawanywe, ili lengo la the greater Middle East lifanikiwe.
NWO na Zionism rule. google!
 
unaweza kulinganisha England Vs Zanzibar kisoka ???mie nampa mkono wa pongezi huyu Ehud Barak maana Tz ni nchi yenye kila kitu lakini tatizo ni Administration ndiyo maana hatuelezeki popote pale, pia mpaka hapo Tanzania ishaanza kuwa googled na mtu kibao ili kujua ni nchi gani hii??? kweli ni bora vita inayotafuta amani kuliko amani inayopumbaza,
 
Acheni kupanick, jamaa (Barak) hajatukana mtu ni vijimambo vya rhyming tu, kwa wale wazee wa mashairi wameshaelewa hilo, Tripolitania, Tanzmania, Mauritania, Britania.....etc, etc..nadhani alitaka kuonyesha umahiri wake wa kutoa hotuba!:lol:
 
Kwanza ni bahati sana Ehud Barak ametutaja, inaonekana anafahamu angalao kuwa tupo kama nchi ingawaje hatufanani na German au GB au France. Kwa hiyo tusipandishe munkari wala tusichukulie negative kwani tayari ametu promote
 
Mkuu umenena... But maji yakisha mwagika hayazoleki.
kero langu ni kuhusu attitude ya serikali. Yaani nchi imetukanwa wenyewe wakichekelea, na ndio bado wanatoa aliko rasmi ya kuwakaribisha walo tutukana nchini! The only retaliation was in mentioning that Tanzania is full of peace loving people (which could be interpreted as an illusion to the bellicose reputation of the Israeli government). Why didn't they ask for official excuses first?
Umenikumbusha pale juzi Mwita25 aliposema watendaji wa Tanroad wapigana vikumbo kwenda kummuomba Magufuli awadhalilishe kwenye TV almuradi wanapewa posho.
:focus:Mjinga ukimtukana huona ndio unamsifu. Ikiwa Israel haitoiomba radhi Tanzania na ikiwa Tanzania itakaa kimya kwa sababu tu balozi keshasema "ni nchi ya amani yenye maajabu", hatutokuwa tafauti na tafauti yoyote na mjinga aliyevimba bichwa kwa kutukanwa.
Kitu pekee ninachokubaliana nacho hapa ni kuwa tunajitukanisha na ndio maana tunatukanwa. Kuna sababu yoyote inayoifanya Tanzania isiwe kama Afrika ya Kusini ikiwa si uongozi mbovu. Inaniuma sana kuona tumedogoshwa kiasi hiki, lakini kinachonipa moyo kama Mtanzania mjinga, wametusifu tuna amani.
 
acha ukilaza soma hapa.
Mkuu, hutakuwa umemsaidia bado.

hujaeleweka mkuu labda wengine wataelewa
Mkuu, hii hapa "simplified version":
Ehud Baraka ameidharau Tanzania
Balozi wa heshima: Barak aidharau Tanzania

Kasbian Nuriel Chirich anasema kuwa katika kujaribu kwake kutilia mkazo umuhimu wa nchi za Ulaya kwa Israeli, waziri wa ulinzi alifanya Kushushia remark juu ya nchi za Afrika.

Balozi wa heshima wa Tanzania katika Israeli ilifungua malalamiko rasmi Jumapili juu ya kile alichokieleza kama matamshi ya kushushia hadhi yaliyotolewa na Ehud Barak wiki iliyopita.

Akizungumzia majibu ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa ukosoaji mkali uliotolewa na wanachama wa Umoja wa Ulaya katika Baraza la Usalama juu ya ujenzi wa makazi ya Israeli katika Ukanda wa Magharibi, waziri wa ulinzi wa Israel alisema "Ujerumani, Ufaransa na Uingereza si Tanzania, Mauritania au Tripolitania. Hizi ni muhimu sana ulimwenguni na sisi hatuna nia ya kuongeza uhasama nao."

Katika barua rasmi kwa Waziri Avigdor Lieberman, Balozi Kasbian Nuriel Chirich, alisema "kwa niaba ya Jamhuri ya Tanzania napenda kuelezea masikitiko juu ya maoni yaliyotolewa na waziri wa ulinzi Ehud Barak, ambaye, katika jaribio la (kusisitiza) umuhimu wa nchi muhimu za Ulaya, aliamua kuishushia hadhi Tanzania na hata kuilinganisha na nchi ambayo haipo. "

Chirich alisisitiza kuwa Tanzania ni nchi kubwa zaidi katika Afrika Mashariki yenye idadi ya watu milioni 46. Alisema Israel na Tanzania zinadumisha uhusiano wa kina kifedha, kidiplomasia na kiusalama ulioanza tangu mwanzoni mwa miaka ya 1960, wakati mataifa ya Afrika yalipopata uhuru wao.

"Nitafuraha kama mwakilishi rasmi wa Israel ataongozana nami kwenye ziara yangu ijayo ya Tanzania mwezi wa Januari ili kujionea maajabu ya nchi hii kubwa na watu wake wanaopenda amani," alisema balozi huyo wa heshima.
 
Tanzania imefanya sahihi kuonesha kutofurahishwa kwake. Barak angeweza jabisa kutunia the proverbial "banana republic" as point of reference sidhani kama kampuni ya nguo with similar name ingelalamika.
 
kuna waungwana wameishobokea Israel tuanzishe uhusiano nayo ili tupate baraka, kumbe hawatutambui kama tupo! Sasa baraka watatupa ? Na huyu 'Barak' yeye ndo anae gawa !

Sasa unataka tuwe na uhusiano na Somalia ili waje wateke meli zetu?
 
Inabidi tupeleke azimio linalolaani unyama wa Israel kwz Wapalestina, halafu tuiombe ICC wawafungulie mashtaka kwa ukiukaji wa haki za binadamu, tukienda kwa mwendo wa kuwakoela bila shaka watarudi matawi.
 
Back
Top Bottom