Ehud Barak belittled Tanzania

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Honorary consul: Barak belittled Tanzania

Kasbian Nuriel Chirich says that in trying to stress importance of key euroepean countries to Israel, defense minister made disparaging remark on African country.

Tanzania's honorary consul in Israel filed an official complaint Sunday over what he referred to as disparaging remarks made by Ehud Barak last week.

Addressing the Foreign Ministry's response to harsh criticism leveled by European Union members of the UN Security Council over Israel's settlement construction in the West Bank, the Israeli defense minister said "Germany, France and Britain are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania. These are very important countries in the world and we have no interest in increasing the tensions with them."
In an official letter to Foreign Minister Avigdor Lieberman, the consul, Kasbian Nuriel Chirich, said "on behalf of the Republic of Tanzania I wish to express regret over the comments made by Defense Minister Ehud Barak, who, in an attempt to (emphasize) the importance of key European countries, chose to belittle Tanzania and even compare it to a country that does not exist."

Chirich stressed that Tanzania was the largest country in east Africa with a population of 46 million. He said Israel and Tanzania maintain extensive financial, diplomatic and security relations which go back to the early 1960s, when the African nation gained its independence.

"I would be glad if an official Israeli representative accompany on my next visit to Tanzania in January so that he will be able to experience the wonders of this vast country and its peace-seeking people," the honorary consul said.

SOURCE: Honorary consul: Barak belittled Tanzania - Israel News, Ynetnews
 
Sasa tunasubiri nini kumfukuza balozi wao hapa Tanzania na kukomesha mahusiano yote. Hii serikali legelege damn it!
 
Kwa kweli sikuona umuhimu wa kuwaalika kuja kuitembelea Tanzania kabla ya kuomba tamko rasmi toka senior officials la kukanusha lile lakwanza!
Tripolitania? dah!
 
Ukweli ni kwamba reputation ya Tanzania on the international level ni sawa kabisa na Mauritania and worse still "Tripoltania". Kwa hiyo mshukuru tu angalau Ehud Barak somehow, someway, amefaulu kuitaja Tanzania from the depths of his short/long term memory.
 
mwishowe utajidharau hata kwa watoto wako ..
 
hujaeleweka mkuu labda wengine wataelewa

acha ukilaza

soma hapa
Honorary consul: Barak belittled Tanzania

Kasbian Nuriel Chirich says that in trying to stress importance of key euroepean countries to Israel, defense minister made disparaging remark on African country
Ynet
Published:12.25.11, 22:41 / Israel News

Tanzania's honorary consul in Israel filed an official complaint Sunday over what he referred to as disparaging remarks made by Ehud Barak last week.

Addressing the Foreign Ministry's response to harsh criticism leveled by European Union members of the UN Security Council over Israel's settlement construction in the West Bank, the Israeli defense minister said "Germany, France and Britain are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania. These are very important countries in the world and we have no interest in increasing the tensions with them."

In an official letter to Foreign Minister Avigdor Lieberman, the consul, Kasbian Nuriel Chirich, said "on behalf of the Republic of Tanzania I wish to express regret over the comments made by Defense Minister Ehud Barak, who, in an attempt to (emphasize) the importance of key European countries, chose to belittle Tanzania and even compare it to a country that does not exist."

Chirich stressed that Tanzania was the largest country in east Africa with a population of 46 million. He said Israel and Tanzania maintain extensive financial, diplomatic and security relations which go back to the early 1960s, when the African nation gained its independence.
"I would be glad if an official Israeli representative accompany on my next visit to Tanzania in January so that he will be able to experience the wonders of this vast country and its peace-seeking people," the honorary consul said.
 
Ukweli ni kwamba reputation ya Tanzania on the international level ni sawa kabisa na Mauritania and worse still "Tripoltania". Kwa hiyo mshukuru tu angalau Ehud Barak somehow, someway, amefaulu kuitaja Tanzania from the depths of his short/long term memory.
Shida sio kulinganishwa na nchi kama Mauritania (which by the way ranks among the most promissing economies of Africa tomorrow because of the mining industries and tourism, just like Tanzania).
Shida ni hiyo Tripolitania (with reference to the new Lybia maybe, which capital is Tripoli). Yaani kwake yeye kuna 'important countries' and the truth implied here is that Tanzania is not an important country. Iwe Tanzania au Tripolitania kwa Israel hakuna tofauti, na hakuna haja ya kuogopa kuwakera.
Katika diplomatic sphere kuna principle of reciprocity ilitakiwa kutumika hapo. Ikiwa hawaoni umuhimu wa kutiwakwaza Watanzania, kwa nini Watanzania wanajipendekeza na kuwaalika? Tanzania ilitakiwa kuvunja mawasiliano na kusubiri watoe excuses, waitambue Tanzania kama nchi kabla ya kuwaalika, au hata kuwaandikia.
 
Shida sio kulinganishwa na nchi kama Mauritania (which by the way ranks among the most promissing economies because of the mining industries and tourism, just like Tanzania).
Shida ni hiyo Tripolitania (with reference to the new Lybia maybe, which capital is Tripoli). Yaani kwake yeye kuna 'important countries' and the truth implied here is that Tanzania is not an important country. Iwe Tanzania au Tripolitania kwa Israel hakuna tofauti, na hakuna haja ya kuogopa kuwakera.
Katika diplomatic sphere kuna principle of reciprocity ilitakiwa kutumika hapo. Ikiwa hawaoni umuhimu wa kutiwakwaza Watanzania, kwa nini Watanzania wanajipendekeza na kuwaalika? Tanzania ilitakiwa kuvunja mawasiliano na kusubiri watoe excuses, waitambue Tanzania kama nchi kabla ya kuwaalika, au hata kuwaandikia.

Lakini ukumbuke kwamba kauli ya Ehud Barak ilihusisha mlinganisho wa nchi kama "Germany, France and Britain". Sasa, in that context, would you really plead any contest? Mimi binafsi nadhani kwamba given the nature of the comparison, nchi kama Tanzania na Mauritania are as obscure, imaginary and irrelevant as "Tripolitania".
 
Ukweli ni kwamba reputation ya Tanzania on the international level ni sawa kabisa na Mauritania and worse still "Tripoltania". Kwa hiyo mshukuru tu angalau Ehud Barak somehow, someway, amefaulu kuitaja Tanzania from the depths of his short/long term memory.

I agree with you. Ni vizuri Keinge tukimuita kenge na si mjusi. Mimi ni mtanzania, lakini sioni umhumu wowote wa Tanzania kwa dunia. serikali yetu yenyewe haioni umuhimu wa nchi, how can a jew see it as an important part. Ukweli unauma.
 
Tripolitania ni jimbo tu huko Libya (mengine ni Fezzan na Cyrinaica) kwa kutulinganisha na hilo jimbo Ehud Barak kaona Tanzania ni kama ka-jimbo flan kasicho hata na hadhi ya kuitwa nchi. Inauma sana lakini huo ndio ukweli lazima tukubali nchi yetu ni "irrelevant" mbele ya mataifa mengine duniani......nahisi Rwanda wanaonekana nchi kuliko sisi. Bora tuwe mkoa wa Kenya tu. aaargh!
 
Kwa Israel Tanzania ina umuhimu sawa na nchi isiyokuwepo ya Tripolitania...huo ni ukweli.

Mnachoweza kufanya Watanzania ni kumthibitishia kuwa huo si ukweli, lakini sidhani kama mnaweza
 
Lakini ukumbuke kwamba kauli ya Ehud Barak ilihusisha mlinganisho wa nchi kama "Germany, France and Britain". Sasa, in that context, would you really plead any contest? Mimi binafsi nadhani kwamba given the nature of the comparison, nchi kama Tanzania na Mauritania are as obscure, imaginary and irrelevant as "Tripolitania".
Kwa hiyo because hatuwezi kulingana na France Germany and Britain ni sawa kabisa tulinganishwe na tripolitania, na tuone kua maybe walikosea kusema sababu hawajatembelea nchi yetu? There is a sense of self esteem that requires any actor to reatract I think.
I won't engage in the debate of Britain vs Tanzania but fahamu kua mimi naamini hakuna important country na unimportant one, there are only citizens (and subsequently leaders) that consider their countries important and other that don't.
 
kuna usemi wa uwongo kuwa, tanzania tuna jina zuri na tumejijengea heshima duniani. huu usemi ni wa uwongo kabisaaa na ndio maana kuna watu wanakuja juu kumlalamikia ehud barak kama vile kakufulu kuitaja tanzania.

ukweli tanzania hatujulikani kabisaa ulimwenguni na hata africa kwa lolote lile.unavyoinona korea kaskazini, djibut,mouritania, gambia na chad ni nchi ambazo hazijulikani nini watendalo ndio na sisi tuko hivyo hivyo katika nyanja za africa na duniani.waghana ,wanigeria, wacameroon , wazambia, wakenya, waganda, na senegal hawa wamejitangaza sana duniani kwa kupitia soka na kenya kupitia marathon.
sasa sisi tujulikane duniani kwa kitu gani wakati serikali yetu iliwafukuza nchini Tambwe Leya na Nabi kamala kuiweka tanzania katika chati ya soka duniani? usidhanie kuwa kwa kuwa nchi yetu iliku 5 front line states na mwenyekikiti wa kamati hiyo, ndio kitu cha kutufanya tuheshimike duniani.

kwa taarifa yako , hata kenya na uganda hawajui kama sisi tulikuwa kimbelembele kushabikia ukombozi wa nchi za africa. waafrica ukitaka wakuheshimu, wewe cheza soka la nguvu,muziki wa nguvu na uwe na uchumi mzuri kama ivory cost, gabon, kenya, ghana na nigeria. selikali ya mkapa na kikwete , ndio kidogo wameifanya nchi yetu ijulikane duniani. kama mani na utulivu hata djibout na mouritania husema hivyox2!
 
Lakini kasema kweli. Na zaidi ya kulialia hapa JF, there is absolutely nothing, zero, zilch, nada you can do about it. Too sad and too bad.

He ain't gonna lose sleep over it.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom