Ehud Barak belittled Tanzania

Back to the topic:
Wataalam wa diplomasia tupeni somo. Kanuni za kidiplomasia katika swala kama hili zikoje?
 
Bila kua mtaalam, herewith my analysis ya haraka:
Kwa upande mmoja kuna hiyo principle of reciprocity: waki linganisha Tanzania with a non exizting country kwa maana ya kuidharau basi Tanzania inatakiwa kukata mawasiliano pia (if we don't exist for you, you don't exist for us). Hiyi ingeisaidia Tanzania kulinda heshima as a sovereign country, na crisis ingetatuliwa kwa Israel kukanusha tamko.
Ila kwa upande mngine Tanzania na US wana uhusiano mzuri, na US na Israel wana uhusiano mzuri pia, maybe wameamua kua wapole kwa kulinda uhusiano na US. Kuna principle ingine ya IR inasema Democracies don't fight each others (it is more employed for warfare but sometimes for diplomacy too)
 
Watanzania wanataka lazima Israel ijali uhusiano wake wa kidiplomasia na Tanzania. Haijali, na wala haikukosea kusema ilichosema, kama Tanzania ni muhimu kwao wasingesema hayo jahara.

Kwa Israel Tanzania ni kama Tripoliania
 
Hmmm we huogopi kupigwa ban?
 
Kwenye siasa, nothing happens accidentally na mara nyingi maongezi kama haya huwa yameandaliwa. Je, kuna msuguano wowote wa chini kwa chini kati ya Tanzania na Islael unaofanya waziri huyu atoe matamko haya?

Tukumbuke kuwa kuna cable iliyotolewa na wikileaks kuwa Tanzania inasaidia kupeleka uranium Iran na Iran wanasadikika kuwa na mpango wa kuiangammza Israel na aliyeongea maneno ya kuitukana Tanzania ni Israel DEFENCE minister. Any dots connecting?
 
Kuna watu humu hawana haki hata ya kupocess erectile function kwa sababu wakizaa watoto wanaofikiria kama wao itakuwa balaa...

Watu tukihoji judgements za baadhi ya hawa mods tunaonekana wakorofi. Sasa baadhi ya posts zimefutwa kisa eti ziko irrelevant huku hii ya erectile dysfunction inaachwa! Sasa ED na hii mada wapi na wapi? Pathetic.

Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.

Halafu hivi ni erectile function au erectile dysfunction? Lol....
 
Ati...??

Haki aliyosema ZeMarcopolo haiwafai baadhi ya watu mie hainihusu....afikirie nyengine :lol:

Back to topic....usije pigwa ban bure.

Sasa unaonaje...Tanzania tuende UN tukalalamike tumedharauliwa na Israel?
 
Watanzania wanataka lazima Israel ijali uhusiano wake wa kidiplomasia na Tanzania. Haijali, na wala haikukosea kusema ilichosema, kama Tanzania ni muhimu kwao wasingesema hayo jahara.

Kwa Israel Tanzania ni kama Tripoliania
I agree with you. Na ndio maana nimesema kua uongozi wa Tanzania utakua na sababu ya kuto retaliate, wameishia kuualika uongozi wa Israel kuja kuiona Tanzania, as if they are justified to say what they said because they don't know about the country.
Ila ilikua ni diplomatic incident ya nguvu.
 
Kama vipi waziri wetu wa mambo ya nje na yeye asimame aseme hata sisi hatuoni umuhimu wa Israel kwetu sababu we have China .. strong friend ship iliyotengezwa na kambarage na mao ... Je mnajuwa nyerere alikuwa ni mmoja wa viongozi wa kiafrica aliyepigania China awe permanent member mwenye uwezo wa veto hii story alinambia mchina ndio Maana uhusiano wetu ni wa karibu mno Hehe
 
I agree with you. Na ndio maana nimesema kua uongozi wa Tanzania utakua na sababu ya kuto retaliate, wameishia kuualika uongozi wa Israel kuja kuiona Tanzania, as if they are justified to say what they said because they don't know about the country.
Ila ilikua ni diplomatic incident ya nguvu.
RR,
Katika taarifa iliyotolewa aleyeialika Israel siyo uongozi bali ni Honorary Consul. Tukumbuke kuwa huyu Honorary Consul can as well be an Israel citizen.
 
Back to topic....usije pigwa ban bure.

Sasa unaonaje...Tanzania tuende UN tukalalamike tumedharauliwa na Israel?

Israel imeeleza ukweli wake, sisi umetuchoma, wawapelekee barua tu "kuwaomba" watuonee huruma wasitaje ukweli wao hadharani siku nyengine kwa sababu unaumiza feelings zetu :tongue:
 
Teh teh teh...ama kweli ukweli unauma.
 
Kwenye siasa, nothing happens accidentally na mara nyingi maongezi kama haya huwa yameandaliwa. Je, kuna msuguano wowote wa chini kwa chini kati ya Tanzania na Israel unaofanya waziri huyu atoe matamko haya?

Tukumbuke kuwa kuna cable iliyotolewa na wikileaks kuwa Tanzania inasaidia kupeleka uranium Iran na Iran wanasadikika kuwa na mpango wa kuiangammza Israel na aliyeongea maneno ya kuitukana Tanzania ni Israel DEFENCE minister. Any dots connecting?
I wouldn't say kwa kweli.
Ingekua ni vitu radical kama hivyo nadhani tamko lingekua kali zaidi. Kama alivosema mkuu Kiranga huko mwanzo itakua ni kosa la rookie, na kosa la kiburi, sio deliberate attack. angeweza kabisa kuzitaja hata nchi zingine za kiafrika.
 
Kwenye siasa, nothing happens accidentally na mara nyingi maongezi kama haya huwa yameandaliwa. Je, kuna msuguano wowote wa chini kwa chini kati ya Tanzania na Islael unaofanya waziri huyu atoe matamko haya?

Tukumbuke kuwa kuna cable iliyotolewa na wikileaks kuwa Tanzania inasaidia kupeleka uranium Iran na Iran wanasadikika kuwa na mpango wa kuiangammza Israel na aliyeongea maneno ya kuitukana Tanzania ni Israel DEFENCE minister. Any dots connecting?
Unao Ushahidi wowote ule kuwa Tanzania inaipelekea Uranium Iran? au ndio habari hewa?
 
RR,
Katika taarifa iliyotolewa aleyeialika Israel siyo uongozi bali ni Honorary Consul. Tukumbuke kuwa huyu Honorary Consul can as well be an Israel citizen.
Hata kama huyo ( Tanzania Honorary Consul) ni Raia wa Israil lakini anatuwakilisha sisi Wa Tanzania nchini kwake . huyu Ehud Barrak ni mshenzi wa tabia anafaa alaumiwe sana kwa kauli yake mbovu isiiyokuwa na maana yoyote ile.
 
kuna waungwana wameishobokea Israel tuanzishe uhusiano nayo ili tupate baraka, kumbe hawatutambui kama tupo! Sasa baraka watatupa ? Na huyu 'Barak' yeye ndo anae gawa !
 
Back
Top Bottom