Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,615
Ndugu Kiranga, naomba nikukumbushe kuwa umewahi kufanya kosa kama hili pale ulipoanzisha thread kumsifia Mnyika na ukaishia kwa kumponda Regia Mtema. Na sisi wengine tulikuonya kuhusiana na hilo. Ndo kusema haya mambo hutokea kwa baati mbaya au nzuri, hasa panapokuwa na ukweli ndani yake (ni kweli kwamba German, Uk na France ziko next level na Tz iko nowhere).Rookie mistake, angeweza kusema Germany, Britain na France ni nchi zenye umuhimu mkubwa sana bila ya kuzi compare na Tanzania, na ku make point yake ile ile bila ya adha ya controversy.