Ehud Barak belittled Tanzania

Hata mama yako pamoja na kwamba ni mwanamke huezi ukamwita 'we mwanamke wee ..' kila kitu kina pahali pake na wakati wake. It is common sense some nations are more equal than others, lakini sio kwa kuwa ni hivo basi mtu aoneshe dharau waziwazi, hiyo haifai.

On the funny side of this thread, nimerejea kwene uzi huu baada ya leo niko zangu kwene daladala nikaona mtu na kimeo chake anatuovateki huku ameweka bendera ya mayahudi kwene dashboard yake..unawababaikia na kuwashadadia wazayuni ambao wanakuoneni kama vinyec tu..kaz kwelkwel. Asavali ya mimi sijasema kitu.
Hawa watu hawana maana kabisaa ! Abdulhalim
crazy jews.png
 
Back
Top Bottom