Eh! kumbe madaktari mshahara kiduchu hivi!

Kati ya siku iliyonisikitisha ni Leo. Kina rafiki yangu, namuadmire sana, toka tukiwa wadogo alikuwa so bright, mpaka akafanikiwa kuwa daktari.

Mimi binafsi huwa napenda sana kila weekend au nipatapo muda kuwa nae sehemu tunapiga story, naye hupenda kuniambia vitu vya kazini kwake kama wagonjwa na matukio anayokutana nayo. Ila ni kama weekend moja tu kwa mwezi ninaweza kumpata nyingine yeye huwa busy sana.

Sasa Mimi nimesoma mambo ya finance na nilifanikiwa kupata exposure nje kwa muda tu. Sasa kwa assumption zangu jinsi huyu rafiki yangu anavyokuwa busy na kutoa muda wake ata kukesha na kuwa mbali na familia nikajua na angalau salary yake itakuwa safi. Ila chakushangaza Leo alipata salary slip yake na kunionesha , oh my imenisikitisha kiukweli, ni around 1.48m take home yake ni kama laki 4 baada ya kukatwa na bodi na bank. Yani ninamzunguka karibu Mara 5 na sijawahi kukesha hats Mara Mona kazini. Yani kwa kifupi effort zake na zangu hazilingani. Sisemi kwamba kazi yangu haina challenges isipokuwa sifikii za kwake.

Nimejifunza kitu Leo. Maisha ni ushuzi mtupu, nimeamua nitampatia million 10 amalize shida zake ndogondogo rafiki yangu sana. This is not fair.
Mkuu pesa ni karatasi tu ambayo "it's not even worth the paper it is written on."Kurithika ndilo jambo la msingi zaidi.
 
Utakuwa wa kanda ya ziwa kule kwa katerero Wewe....
 
Kati ya siku iliyonisikitisha ni Leo. Kina rafiki yangu, namuadmire sana, toka tukiwa wadogo alikuwa so bright, mpaka akafanikiwa kuwa daktari.

Mimi binafsi huwa napenda sana kila weekend au nipatapo muda kuwa nae sehemu tunapiga story, naye hupenda kuniambia vitu vya kazini kwake kama wagonjwa na matukio anayokutana nayo. Ila ni kama weekend moja tu kwa mwezi ninaweza kumpata nyingine yeye huwa busy sana.

Sasa Mimi nimesoma mambo ya finance na nilifanikiwa kupata exposure nje kwa muda tu. Sasa kwa assumption zangu jinsi huyu rafiki yangu anavyokuwa busy na kutoa muda wake ata kukesha na kuwa mbali na familia nikajua na angalau salary yake itakuwa safi. Ila chakushangaza Leo alipata salary slip yake na kunionesha , oh my imenisikitisha kiukweli, ni around 1.48m take home yake ni kama laki 4 baada ya kukatwa na bodi na bank. Yani ninamzunguka karibu Mara 5 na sijawahi kukesha hats Mara Mona kazini. Yani kwa kifupi effort zake na zangu hazilingani. Sisemi kwamba kazi yangu haina challenges isipokuwa sifikii za kwake.

Nimejifunza kitu Leo. Maisha ni ushuzi mtupu, nimeamua nitampatia million 10 amalize shida zake ndogondogo rafiki yangu sana. This is not fair.
Unachosema ni kweli kabisa muda wa Daktari kusoma mpk kufikia hiyo level, pesa anazotumia ktk hiyo miaka 6 haiendani na mshahara anaopata,kuna watu wanadaiwa 52milion za mkopo baada ya miaka 5 ya masomo anapokea 1.4mil kwa mwezi ,the same person ana miaka 15 mbele astaafu at the same time anataka atengeneze future kutokana na elimu yake, hapo ndipo mtu inabidi aweke usingizi pembeni anazunguka hospital zote za mjini kufanya part time ili nae apate nyumba nzuri watoto wasome vzr nk. Ushauri wangu kwa serikali iangalie upya hizi kozi za Afya hasa udaktari ambazo zinachukua muda mrefu kusoma na gharama kubwa zipewe unafuu ktk kurejesha mikopo la sivyo watu watazikimbia!kuna maana gani unasoma miaka 6,unarejesha mkopo mpk karibu na kustaafu halafu huna sikukuu wala weekend wewe ni kazini kwenda mbele changanya na risk kibao za kuambukizwa magonjwa ukiwa kazini bado hakuna mtu wa kutambua mchango wako ,then kuna mtu amesoma degree yake miaka 3 anakula kiyoyozi ofisini mshahara wake ni mara 3 ya wako ikifika Ijumaa yeye kwake ni sikukuu za mwisho wa wiki ndio zimeanza!
 
Acha dharau na majigambo
Hapo dharau na majigambo yako wapi.....yaani ma watu sijui yakoje, why you guys are always in negative side.

Jamaa kafadhaishwa na jinsi vile rafiki yake, effort zake na mshahara wake haviendani, na akaenda mbali kabisa kuahidi kumsaidia wewe bwege mmoja unatoka huko unaanza kumnegate jamaa.

We kama unaona mtu kumpa rafiki yake million 10 ni majigambo, shauri yako na umasikini wako
 
Kati ya siku iliyonisikitisha ni Leo. Kina rafiki yangu, namuadmire sana, toka tukiwa wadogo alikuwa so bright, mpaka akafanikiwa kuwa daktari.

Mimi binafsi huwa napenda sana kila weekend au nipatapo muda kuwa nae sehemu tunapiga story, naye hupenda kuniambia vitu vya kazini kwake kama wagonjwa na matukio anayokutana nayo. Ila ni kama weekend moja tu kwa mwezi ninaweza kumpata nyingine yeye huwa busy sana.

Sasa Mimi nimesoma mambo ya finance na nilifanikiwa kupata exposure nje kwa muda tu. Sasa kwa assumption zangu jinsi huyu rafiki yangu anavyokuwa busy na kutoa muda wake ata kukesha na kuwa mbali na familia nikajua na angalau salary yake itakuwa safi. Ila chakushangaza Leo alipata salary slip yake na kunionesha , oh my imenisikitisha kiukweli, ni around 1.48m take home yake ni kama laki 4 baada ya kukatwa na bodi na bank. Yani ninamzunguka karibu Mara 5 na sijawahi kukesha hats Mara Mona kazini. Yani kwa kifupi effort zake na zangu hazilingani. Sisemi kwamba kazi yangu haina challenges isipokuwa sifikii za kwake.

Nimejifunza kitu Leo. Maisha ni ushuzi mtupu, nimeamua nitampatia million 10 amalize shida zake ndogondogo rafiki yangu sana. This is not fair.
Basi na wewe ni muangaikaji tu kama ushuzi wako kwani Mimi namzunguka uyo Dr Mara 8 inamaana wewe nakuzunguka kama Mara 3 na kujinasibu kwako kuwa ati umepata exposure uko nje hakuna lolote,

nami nakuahahidi ntakupa km mln 15 ivi umalize tushida twako tudogo tudogo
Ivyo usijisikie kuwa ni lolote au xhoxhote ni mashuzi tu...
 
Kati ya siku iliyonisikitisha ni Leo. Kina rafiki yangu, namuadmire sana, toka tukiwa wadogo alikuwa so bright, mpaka akafanikiwa kuwa daktari.

Mimi binafsi huwa napenda sana kila weekend au nipatapo muda kuwa nae sehemu tunapiga story, naye hupenda kuniambia vitu vya kazini kwake kama wagonjwa na matukio anayokutana nayo. Ila ni kama weekend moja tu kwa mwezi ninaweza kumpata nyingine yeye huwa busy sana.

Sasa Mimi nimesoma mambo ya finance na nilifanikiwa kupata exposure nje kwa muda tu. Sasa kwa assumption zangu jinsi huyu rafiki yangu anavyokuwa busy na kutoa muda wake ata kukesha na kuwa mbali na familia nikajua na angalau salary yake itakuwa safi. Ila chakushangaza Leo alipata salary slip yake na kunionesha , oh my imenisikitisha kiukweli, ni around 1.48m take home yake ni kama laki 4 baada ya kukatwa na bodi na bank. Yani ninamzunguka karibu Mara 5 na sijawahi kukesha hats Mara Mona kazini. Yani kwa kifupi effort zake na zangu hazilingani. Sisemi kwamba kazi yangu haina challenges isipokuwa sifikii za kwake.

Nimejifunza kitu Leo. Maisha ni ushuzi mtupu, nimeamua nitampatia million 10 amalize shida zake ndogondogo rafiki yangu sana. This is not fair.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Ufisadi ndio unaowafanya vijana wengi wa PCM, PCB na hata ENGINEER wakimbilie finance, accountant, business administration nk kwani huko Kuna mwanya mkubwa wa kupiga ela za kifisadi ndio ukweli wenyewe. Mimi nina washkaji watatu mmoja engineer, mhasibu na mwingine kapiga maswala ya taxation. Jamaa wa engineer anakula 2.1m, mhasibu 1.2 m na huyu wa tax 900000 cha ajabu jamaa wa tax ndani ya miaka mitatu ana nyumba na gari, huyu mhasibu ndani ya miaka mitatu ana gari na anapaua ,jamaa yangu wa engineer ndani ya miaka mitatu ndio nae aapaua (na jamaa si mtu wa starehe kama wenzake hao wawili). Mwisho namalizia udaktari ni fani iliyotukuka, yoyote mwenye kuisoma lazima awe na huruma, upendo na mcha mungu, asiendekeze sana ela, akisema aendekeze ela kama ww ulio leta uzi huu, roho nyingi zisizokuwa na hatia zitaangamia na nyie ndugu zangu wa finance nyinyi hamna mishahara mikubwa ila wizi na ufisadi ndio unao wafanya muwe na ela.
Very interesting. Niko kazi na tena kazi za uhasibu. Yani ni ukweli sana. Especially mabenka ni fully madeal na ata ktk maBAR 4real heshima inatolewa
 
Kulikua hamna need ya personal attack kwa mtoa mada yeye alichokifanya ni mlinganyo na uthamani wa hizo kazi mbili basi
 
Sasa hiyo milioni 10 unayompa ni ya kazi gani? Itasaidia kuboresha maslahi ya madaktari Nchini? Ni kiinua mgongo?au ni ya kujenga nyumba yake? Hata Jambazi anaweza kukuzidi kipato,Braggish!!
Duh si lazima uhushobokee Uzi. Km VP keep ur mouth shut
 
Sijasema msome wote finance. Mimi nimesikitika tu. Pili maisha hupangiwi na yeyote,unapanga mwenyewe.
Kiongozi hebu achana na watu Wa humu, wengi wao njaa Kali, wanaona hzo m 10 ulizopledge kwa mwanao ni hela kubwa sana kiasi wanaumia wanatamani ungewapa wao
 
Nahisi mleta mada ni mhaya si kwa majigambo hayoo loo[emoji23][emoji23]
Hivi kwa nini watu Wa makabila mengine isipokuwa kabila langu chaga mnawaogopa sana wahaya.....Mara utasikia ooh wanamajivuno, ooh sijui wana nini,
Haya majivuno yao yana impact gani katika maisha yenu....
 
amuna kitu nichofurahia kila mara kusoma vitabu vya wajasiria mali wengi wao wamarekani.
kwani ukisoma hivo vitabu zile assumptions zao, established theories ni hatariii,
mbona hata kama unapokea 10m utashawishika kuacha ajira.
ni hayo tu.
kwa mtu ambaye hana mind ya kijasiria mali ndiyo hao wanapokea mpaka 150k kwa mwezi arafu utamkuta kafunga tai utadhani si ofisa ganinkumbe njaa tu hela yake kula kulipa pango na kununua vikoti vya suti
.
Hivyo basi kuanzia leo usilinganishe mshahara wako kwa vigezo vya career yako.
.
kinacho matter ni mindset ya mtu basi.
 
Kati ya siku iliyonisikitisha ni Leo. Kina rafiki yangu, namuadmire sana, toka tukiwa wadogo alikuwa so bright, mpaka akafanikiwa kuwa daktari.

Mimi binafsi huwa napenda sana kila weekend au nipatapo muda kuwa nae sehemu tunapiga story, naye hupenda kuniambia vitu vya kazini kwake kama wagonjwa na matukio anayokutana nayo. Ila ni kama weekend moja tu kwa mwezi ninaweza kumpata nyingine yeye huwa busy sana.

Sasa Mimi nimesoma mambo ya finance na nilifanikiwa kupata exposure nje kwa muda tu. Sasa kwa assumption zangu jinsi huyu rafiki yangu anavyokuwa busy na kutoa muda wake ata kukesha na kuwa mbali na familia nikajua na angalau salary yake itakuwa safi. Ila chakushangaza Leo alipata salary slip yake na kunionesha , oh my imenisikitisha kiukweli, ni around 1.48m take home yake ni kama laki 4 baada ya kukatwa na bodi na bank. Yani ninamzunguka karibu Mara 5 na sijawahi kukesha hats Mara Mona kazini. Yani kwa kifupi effort zake na zangu hazilingani. Sisemi kwamba kazi yangu haina challenges isipokuwa sifikii za kwake.

Nimejifunza kitu Leo. Maisha ni ushuzi mtupu, nimeamua nitampatia million 10 amalize shida zake ndogondogo rafiki yangu sana. This is not fair.
Hapa maananisha nini kwamba watu wasisome MD wasome Finance kama wewe?, ukipata UTI/malaria utatibiwa na nani?, leta mada constructive hapa sio kutukana watu indirect
 
Back
Top Bottom