Daniel Schoter
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 114
- 64
Ukweli Huwa mchungu tu
angalia mkuu usije kuutwa mchocheziUkweli Huwa mchungu tu
Hebu jaribu kufikiri kama mtu wa karne ya 21,Udaktari ni ajira kama ajira nyingine,wito huchagizwa na vitu vinge sana ikiwemo kupata kipato kinachotimiza anagalau 70%ya mahitaji yako.Unaposema u Dr hauangalii kipato sijui una maana gani?,ina maana Dr hapendi kuwa na nyumba nzuri?,hapendi kusomesha watoto wake shule nzuri na bora?.Dr ni binadamu kama wengine,na kwa mantiki hiyo anahitaji mahitaji yote muhimu kama mimi na wewe..Kati ya sekte yenye watumishi wachache ni sekta ya afya,serikali inashindwa nini kuwalipa vizuri hawa watu.Yaani Dr anafanya operation huku ana stress za kipato,we unafkiri atafanya vizuri?.Kuna magonjwa mengine tunaweza kabisa kutibu hapa nyumbani,Ila kwa sababu ya stress za kipato walizonazo ma Dr ndo maana wanashindwa kuwa effective kwenye kazi yao..Ufisadi ndio unaowafanya vijana wengi wa PCM, PCB na hata ENGINEER wakimbilie finance, accountant, business administration nk kwani huko Kuna mwanya mkubwa wa kupiga ela za kifisadi ndio ukweli wenyewe. Mimi nina washkaji watatu mmoja engineer, mhasibu na mwingine kapiga maswala ya taxation. Jamaa wa engineer anakula 2.1m, mhasibu 1.2 m na huyu wa tax 900000 cha ajabu jamaa wa tax ndani ya miaka mitatu ana nyumba na gari, huyu mhasibu ndani ya miaka mitatu ana gari na anapaua ,jamaa yangu wa engineer ndani ya miaka mitatu ndio nae aapaua (na jamaa si mtu wa starehe kama wenzake hao wawili). Mwisho namalizia udaktari ni fani iliyotukuka, yoyote mwenye kuisoma lazima awe na huruma, upendo na mcha mungu, asiendekeze sana ela, akisema aendekeze ela kama ww ulio leta uzi huu, roho nyingi zisizokuwa na hatia zitaangamia na nyie ndugu zangu wa finance nyinyi hamna mishahara mikubwa ila wizi na ufisadi ndio unao wafanya muwe na ela.
na ww wa wapi..rudia soma vzr kasema..wew mshahara wako sh. ngapi?
ww unaweza kuifanyia nn kwa wk 1 kw mf....We muhaya nin, 1m ni ndogo kwa usawa huu
Atakuwa Mhaya huyoAcha dharau na majigambo
Hizo ni za kweny makaratas mkuu. Anapokea laki 4/5 km sijakosea kumnukuu mtoa uzi.1.48 mbona mshahara mkubwa sana tu huo. Sema labda makato yamekuwa makubwa lakini kiasi cha mshahara sio kidogo. Jamani issue nyingine ya msingi nikwamba kwenye ajira hakunaga utajiri kama unatak kutajirika jiajiri
Vitu ving kamanda, tena vya kimaendeleoww unaweza kuifanyia nn kwa wk 1 kw mf....
Mkuu kukopa ni hiari ya mtu. Imagine umeenda kukopa finca kwa shida zako binafsi. Haujalazimishwa na mtu. Mkopo ulikuwa 8% ya makato yako. Mkakubaliana.Sasa kama analipwa 1,480,000/= na amekopa Bank anakatwa hata ikibaki laki 4. Kuna shida gani au ulitaka wakope hela Bank halafu Serikali ndio iwalipie? Tumia akili kuleta mada hapa kama mil 1.48 ni ndogo sema haitoshi tujue ni ndogo lakini sio useme ana take home laki 4 maana mkopo ni hiari asingekopa angepata zote mil 1.48 tukifuata Mawazo yako hata hio laki 4 ni kubwa maana je akiamua kucheza kibati cha laki 3.5 basi tungemuhesabia take home 50,000/=.
Hahahahahahaa Dah.................tena kasema 2020 anagombea tena
Hujui kusoma? Kasema anamzunguka kama mara 5.Hujui hesabu? Si kasema anamzunguka kama mara nne hivi. So in terms of Gross atakuwa analamba 6M!
Kumbe wajaluo = wahaya, kuna kama watatu hivi tunafahamiana. Kwa kweli wana mikogo kama wa jamaa zangu wa Kyerwa na Kayanga.Bila shaka wewe ni Mhaya au Mjaluo na hapo ulipo unakaa kwa mjomba wako, hata baisikeli huna.