Eh! kumbe madaktari mshahara kiduchu hivi!

Eh! kumbe madaktari mshahara kiduchu hivi!

Watu wanaacha kuongelea mada wanamuongelea mtoa mada, mtoa mada yupo sahihi, ila zaidi ya hiyo 10 m mshauri pia asitegemee ajira peke yake.
 
nig
Nyie leteni masihara, nimechukua loan ya almost 280m , kaeni hivohivo mtabaki mnawaonea wivu watu pasipo kujua uhalisia. Kuna watu we really get paid, ila Kuna watu they don't really get paid what they deserve, sina maana ya kujisifu

nigaie tu milion tuwili,lol
 
1.48 ni mshahara mzuri tu,sema hayo makato ndiyo yanamzingua.

Alafu tunatakiwa kufahamu kwamba kazi yoyote ya kuajiriwa mara nyingi haimfanyi mtu awe na pesa nyingi,isipokuwa inamfanya mtu apate pesa ya kupambana na hali ya maisha ya kawaida tu.

NOTE:ukimuona mtu kaajiriwa alafu anamapesa mengi sana huyo huenda akawa na biashara zake pembeni au mwizi.
 
tofauti yako na yake ni kubwa sana ,yeye anafanya kazi anapata kipato same time anajitolea kusaidia watu,,,kiuhalisia anamshahara mkubwa mara mia kuliko wako tena kimwil na kiroho,,,mungu amfanyie wepesi usijemshawishi vibaya
 
Kama wala rambirambi wanapata zaidi ya million 3 kwa mwezi why not daktari ?
 
Utakapompa na mashahidi wawepo maana unetutangazia.
 
Mie ni Dr anachosema ni sahihi kbsa.....kwa nchi za ulaya/America doctors wanalipwaa vzur sanaa....
 
Bila shaka wewe ni Mhaya au Mjaluo na hapo ulipo unakaa kwa mjomba wako, hata baisikeli huna.
 
Nyie leteni masihara, nimechukua loan ya almost 280m , kaeni hivohivo mtabaki mnawaonea wivu watu pasipo kujua uhalisia. Kuna watu we really get paid, ila Kuna watu they don't really get paid what they deserve, sina maana ya kujisifu
Sawa Bubelwa tumekuelewa
 
Nyie leteni masihara, nimechukua loan ya almost 280m , kaeni hivohivo mtabaki mnawaonea wivu watu pasipo kujua uhalisia. Kuna watu we really get paid, ila Kuna watu they don't really get paid what they deserve, sina maana ya kujisifu

Hongera zako mkuuu[emoji3][emoji3]haya endelea kusambaza upendo
 
Au labda ni Kajungu, au Bagasha hahahahahah
Nna jamaa nafanyanae kazi anaitwa Bubelwa anasifa huyo yaani hela anayo yeye tu na kazi anafanya ili awe tu na shughuli ila hana shida na mshahara [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kweli wwe bado haujafunguka pamoja na upeo wako wa vyeti,endapo utapata tatizo kama maradhi mtu wakwanza kumfikiria atakuwa nani kama cyo huyo.hacha dharau dogo
 
Back
Top Bottom