Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,872
- 4,879
Kwangu magnetic feet haiworkNiliichezea kwa pedri kule account ya dogo
Kwangu magnetic feet haiworkNiliichezea kwa pedri kule account ya dogo
Unatamba sana kakaNimewah , anawez kukusimulia yeye namn nilivyo mkanda
Selikavu nitumie iyo link ya telegram sasa. Na maelekez mengin cjuh ya contact kuzima isionekane
Upo na wajapan😃Wakuitwa
WarlD samurai honda
Utaona ya NeymarKwangu magnetic feet haiwork
Huyo huwa ananikimbia tunakutana kwenye ligi tuUtaona ya Neymar
Itabid amlete😃😃Huyo huwa ananikimbia tunakutana kwenye ligi tu
WarlD Kumamoto samurai SuzukiWanamwita Warld Suzuki
Injury aseeeHivi Neymar aliitwa ili awe motivational speaker
Nakubali aya muwai ndege ya kesho kwenda TokyoWarlD Kumamoto samurai Suzuki
Hahaha hivi unajua nlikua nashabikia japan ili tu nimkere hatib maana ni shabiki wa neyma.Nakubali aya muwai ndege ya kesho kwenda Tokyo
Sasa si ndio ukwel lkn😀Unatamba sana kaka
Ppoa kka![]()
JF Champions League
WALL OF CHAMPIONS The Conqueror 🏆🏆🏆 Gilberto 🏆 Selikavu 🏆 🏆 Mr Devil 🏆 Negan🏆 Coop 🏆 Kandambili &Elynxvi 🏆 Fair play Award Corrie De Killer🏅t.me
Mengine nenda mwenyewe kwenye setting utaona kaka
Hii link inAnigomea![]()
JF Champions League
WALL OF CHAMPIONS The Conqueror 🏆🏆🏆 Gilberto 🏆 Selikavu 🏆 🏆 Mr Devil 🏆 Negan🏆 Coop 🏆 Kandambili &Elynxvi 🏆 Fair play Award Corrie De Killer🏅t.me
Mengine nenda mwenyewe kwenye setting utaona kaka
Kheeh 😃Hii link inAnigomea
Hii link inAnigomea
Nadhan limeishaHii link inAnigomea
Hamnaa mkuu"🧱Mtaalamu wewe 😃😃