Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,541
- 6,950
Ila overall game ilikua nzurii mkuu"Owaaa una watu mzee adi Vieiraa big time kheeh🙌
Hongera next times ntajipanga zaiidi" endelea kunifunza game mimi bado mgeni Selikavu
Ila overall game ilikua nzurii mkuu"Owaaa una watu mzee adi Vieiraa big time kheeh🙌
Huu mtego wa kuwa wewe noob nimeshasema siingii leo umecheza soka safi kabisa me kazi yangu ikawa kukaba😃na naipenda sana hiyo kazi😃Ila overall game ilikua nzurii mkuu"
Hongera next times ntajipanga zaiidi" endelea kunifunza game mimi bado mgeni Selikavu
Amiini mkuu"Huu mtego wa kuwa wewe noob nimeshasema siingii leo umecheza soka safi kabisa me kazi yangu ikawa kukaba😃na naipenda sana hiyo kazi😃
Tukutane tena wakati mwingineAmiini mkuu"
Tutolee ujinga 😂😂😂Mimi bado beginner 🤣🤣🤣
Nlikua nafurahia interceptions tu
Idara ya ulinziHuu mtego wa kuwa wewe noob nimeshasema siingii leo umecheza soka safi kabisa me kazi yangu ikawa kukaba😃na naipenda sana hiyo kazi😃
Kandambili 2.0😃Kuna mtu atakuja kwenda kwa Jogoo wa Shamba II bila gadi siku aludi na dhahama😃😃😃
Naona umeanza mpira wako sasa😃😃umekutana na masta wa kuvizia😅 huo ndo mchezo wangu na nilikua napenda kwel kucheza na wewe leo😅😅😅😅
😃😃Picha linaanza mtu card zake unaona kabisa ana miaka mitatu anacheza😃😃alafu anakuambia yeye Noob 😃Tutolee ujinga 😂😂😂
Shifuuuuuuuu
Kazi yetu pendwa...Idara ya ulinzi
Bora Kandambili 😃😃hapa ukiangalia tu kikosi unajiongezaKandambili 2.0😃
Kanda maalum 😂😂Kazi yetu pendwa...
Humu kila mtu tapeli 😂😂😃😃Picha linaanza mtu card zake unaona kabisa ana miaka mitatu anacheza😃😃alafu anakuambia yeye Noob 😃
Leo kacheza mpira wake owaaa ni mnomaaa
Unakuta ana account yake ya 3300 imetulia huko😃😃Humu kila mtu tapeli 😂😂
Apo usikute hiyo ndiyo account ndogo 😂😂
Picha la kutisha
Mimi tena 😀
Akiona tunaleta mazoea anapanga majini 😂😂Unakuta ana account yake ya 3300 imetulia huko😃😃