SawaaJioni saa 10
Invite naingia apaCode
Ppoa mzee utani tag hap kaka.Lestone kama una mda tupige pia
Haha game ya pili nikabadilisha formation ndo imeniponza ๐ ningeeka ile ile tuMwamba unakaba sio poa๐
Ilipofika dkk ya 70 nikasema ngoja nibutue mbali nipate on target hata 1 niondoe aibu kumbe nikabahatisha konaHaha game ya pili nikabadilisha formation ndo imeniponza ๐ ningeeka ile ile tu
Una balaa nifundishe kukaba na mimi pass zote unazuia hadi nikawa naogopa kupiga pass ๐Amna kaka, wewe ndo umekuja na uo mchezo wa kutulia ukipata hakimbii kimbii wala pasi za hovyo ๐ ndo mana na mi nikakuiga
Lile shuti nilijua tu unatafuta kona na ndo ikanidhuru ๐๐ฅIlipofika dkk ya 70 nikasema ngoja nibutue mbali nipate on target hata 1 niondoe aibu kumbe nikabahatisha kona
Viungo na mabeki wanajituma kaka ๐Una balaa nifundishe kukaba na mimi pass zote unazuia hadi nikawa naogopa kupiga pass ๐
Mchawi huyoSio poa mwamba anakaba hadi kivuli๐
Tulia mwanga wewe ๐ฅฒMchawi huyo
Wanga tunajuanaTulia mwanga wewe ๐ฅฒ
Twend tuguseSio poa mwamba anakaba hadi kivuli๐