🤣🤣🤣🤣 hata ikianza nyingine tena huwezi nikuta mkiani.. kuna watu lazima nigawane nao pointNitoe pongezi kwa Corrie de killer kwa kujitahidi kutoka mkiani
Kasema hawezi mpaka ijumaa😃
Username yak ni ipiNipe code
SEPTERUsername yak ni ipi
😃😃😃Kwel kabisa🤣🤣🤣🤣 hata ikianza nyingine tena huwezi nikuta mkiani.. kuna watu lazima nigawane nao point
Eeh saivi next league tunaanza mtoano watu nane tuu 😃😃Ndio bhc tena!! Bora saiz next league iwe knock out tu
UwakikEeh saivi next league tunaanza mtoano watu nane tuu 😃😃
Coins unanunulia kiwanja??View attachment 3612117
Nimesubiria kama dakika 10 umalize mechi, imeisha nimekuona online nashangaa umeingia nyingine tena 🥴
😂😂😂Coins unanunulia kiwanja??