lestone
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 802
- 1,731
Jarib mtandao unao itik vzr kutokan na sehem😀😀Nitakuja nifanye maamuzi magumu niyauze yote mimi nianze upya 🙁
Jarib mtandao unao itik vzr kutokan na sehem😀😀Nitakuja nifanye maamuzi magumu niyauze yote mimi nianze upya 🙁
sema sasa huku nilipo napo jau sana ynJarib mtandao unao itik vzr kutokan na sehem😀😀
Nadhani hili ndo tatzo kuu😀😀Afu pia na mitandao inachangia yan iyo siku mtandao kwak ukawa unasom low lazma wachezaj wajivute
nilipo kumbuka nilishacheza na wewe na nikakutesa nikasema huyu nabamiza kabsa nachukua point zangu sita swafi, hmmmm kumbe midoli inanichungulia na kucheka 😀Jarib mtandao unao itik vzr kutokan na sehem😀😀
Mm mwenyew huon nilikuw. Nakukwepa kaka!?😀😀😀nilipo kumbuka nilishacheza na wewe na nikakutesa nikasema huyu nabamiza kabsa nachukua point zangu sita swafi, hmmmm kumbe midoli inanichungulia na kucheka 😀
Sichezi na wewe tena😃😃Si mwema mm😀😀
Kawa mbaya kiasi hichoSichezi na wewe tena😃😃
Unemployment final bossKaka we mwema kwangu😂😂😂
Umeniacha 😂😂Unemployment final boss
😅😅😅Unampiga sako to sako😅😅We ipo siku ntafanya uchukue game.
Wewe sio mwema pro maxUmeniacha 😂😂
Na ambavyo huwa anapoteana yani anaweza akatoa sare ila akahisi kuonelewa.😅😅😅Unampiga sako to sako😅😅
Aje kulalamika konami wanamhujumuNa ambavyo huwa anapoteana yani anaweza akatoa sare ila akahisi kuonelewa.
MatokeoHuyo mazambi tulimaliza kachukua point 6