Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 14,066
- 31,422
We sio mwema hizo marking kheeh😃😃🙌Niku invite tena
We sio mwema hizo marking kheeh😃😃🙌Niku invite tena
Mlete matokeo sasa 😀We sio mwema hizo marking kheeh😃😃🙌
Nimeyaacha room😃😃😃pepe anatembea na lastborn kila sehemuMlete matokeo sasa 😀
Sema hili goli la mwish aisee konami wamenihujumu tuWe sio mwema hizo marking kheeh😃😃🙌
We kuhujumu wenzako kuhujumiwa aaah😃😃Sema hili goli la mwish aisee konami wamenihujumu tu
Niliona kaka vp sasa hvDah nilikuw na kijan Selikavu
Hahaha ila nilimkamia yamal mechi ya kwanzWe kuhujumu wenzako kuhujumiwa aaah😃😃
Twende tuguse mzee ama vpNiliona kaka vp sasa hv
We sio mwema kabisa game yako nilijua tuu itakua ngumu sababu ya markings sijui kwann sikuwaza njia mbadala mapemaHahaha ila nilimkamia yamal mechi ya kwanz
yeah mkuuTwende tuguse mzee ama vp
Si mwema mm😀😀We sio mwema kabisa game yako nilijua tuu itakua ngumu sababu ya markings sijui kwann sikuwaza njia mbadala mapema
Nashangaa mzee akat tuliwah gusa kipind kile ulininywa balaaLeo mbona midoli yangu inazubaa hv au network jau nini
Kweli we si mwema kaka 😀Si mwema mm😀😀
Yaani tokea juzi inazingua sijui imekuwaje, unairuhusu mapema kufanya maamuzi yenyewe haitaki, inataka kutuliza kwanza ndo iendelee wakati huo opponent hanisubili naishia kutukana tu 😀😀Nashangaa mzee akat tuliwah gusa kipind kile ulininywa balaa
😀😀Afu pia na mitandao inachangia yan iyo siku mtandao kwak ukawa unasom low lazma wachezaj wajivuteYaani tokea juzi inazingua sijui imekuwaje, unairuhusu mapema kufanya maamuzi yenyewe haitaki, inataka kutuliza kwanza ndo iendelee wakati huo opponent hanisubili naishia kutukana tu 😀😀