Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,918
- 31,082
Zambia au malawi...Nik boda hku kak, ww upo green city?
Sipo huku ila ndo home hujaona Lubiga hapo kwenye Profile Tokyo moja hiyo😃pure From makandana
Zambia au malawi...Nik boda hku kak, ww upo green city?
🤣🤣🤣MkuuShikamoo braza😃
Kwema kaka🤣🤣🤣Mkuu
Hahah kmb wa kukajha ww.Zambia au malawi...
Sipo huku ila ndo home hujaona Lubiga hapo kwenye Profile Tokyo moja hiyo😃pure From makandana
Eeh mkuu 😃 nilitoka huko mapema nikaenda mbeya mjini then nikahamia mikoan ya watu ila mwaka mpya huu 2026 nilikuwepo pale Tukuyu mjiniHahah kmb wa kukajha ww.
Mm nimesom pale Tukuyu day
Alfu kbla ya kufika lubiga ng'ambo ya hku ni kwa grand aise.Eeh mkuu 😃 nilitoka huko mapema nikaenda mbeya mjini then nikahamia mikoan ya watu ila mwaka mpya huu 2026 nilikuwepo pale Tukuyu mjini
Aah tutabonga zaid mkuu hakuna nenoAlfu kbla ya kufika lubiga ng'ambo ya hku ni kwa grand aise.
Me niko boda Tunduma
Ppoa kaka hain nomAah tutabonga zaid mkuu hakuna neno
Aina nomaa mzee mapambano yanaendelea
Unyama kakaPpoa kaka hain nom
Hichi kitu kimenisaidia nimepanda hadi div 2 sema bado sijamasta vizuri kiviileHeshima yako master 😂🙌
Upo fizikiWakuu
Zaidi ya fizikiUpo fiziki
UtanipataNikienda kwenye net nitapata wa kubondana nae kweli leo maana jana nilioshia kupata mmoja tu
Wr kijana hebu njoo tumalizane kabisaUtanipata
Leo tuchezw mechi yetu mapemaNikienda kwenye net nitapata wa kubondana nae kweli leo maana jana nilioshia kupata mmoja tu
PowaWr kijana hebu njoo tumalizane kabisa
Naingia onlineWr kijana hebu njoo tumalizane kabisa
Sawa utanikuta hukoNaingia online