Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,922
- 31,091
Twende😃Zaidi ya fiziki
Twende😃Zaidi ya fiziki
Nenda kwanza hukoNaingia online
Ok ngoja nipandeLeo tuchezw mechi yetu mapema
Mlikua mnacheza league au friendly...Kandambili1 mkuu sahizi umekuwa mandonga.
Vipi upoOk ngoja nipande
Leta code tupande mkuuVipi upo
Net anayo ni vile nmecheza mpira wake wa pass fupifupiMlikua mnacheza league au friendly...
Ila hana net siku hizi
Hii tufanye friend tuMlikua mnacheza league au friendly...
Ila hana net siku hizi
Ulikosea sana kuwasha defense mode 😂😂😂Leta code tupande mkuu
😅😅Kuna magoli ulikua unanifunga mpaka natukana madude hayakabi yanUlikosea sana kuwasha defense mode 😂😂😂
Yani unaongoza 3 kwa 0 unawasha full blue 😂😂😂
😅😅
Batistuta magoli aliyokosa ilibidi ni forfeit😅😅Kuna magoli ulikua unanifunga mpaka natukana madude hayakabi yan
😅😅Mpaka nikasema una huruma sanaBatistuta magoli aliyokosa ilibidi ni forfeit
Ok poa poaNakuchek kaka kuna mtu kanipa code hapa