Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 14,594
- 32,631
Aah wap mkongwe wewe🤣🤣🤣🤣 Kijana kashinda"mimi bado kibonde
Aah wap mkongwe wewe🤣🤣🤣🤣 Kijana kashinda"mimi bado kibonde
Hata me naona😃Usiamini hayo matokeo ni scam.
We tunajuana kaka😅Huoni umenibonda game zote tena ulivombad comeback ya maana kabisa
Aje kwangu😅Dash naona inafanya poa kwenye kukimbizana ila mtu akiwa anatoa mojamoja ni useless
Mwambie alete matokeo mkuuHata me naona😃
Sema nmemnyasasa hadi najiona nazingua 😂😂Aje kwangu😅
KaletaMwambie alete matokeo mkuu
Au yalr ya statsMwambie alete matokeo mkuu
Aah we sio mwemaSema nmemnyasasa hadi najiona nazingua 😂😂
Eeh nje ya hayo ni AIAu yalr ya stats
Huyu tatizo hayupo seriousAah we sio mwema
Mbn kam huyu bayern ni mkali sanUnaubonda mkuu 🙌😂🤠😂
AseeeEeh nje ya hayo ni AI
Twende tukacheze leagueMbn kam huyu bayern ni mkali san
Kibonde tu huyo😅Mbn kam huyu bayern ni mkali san
Saiz?Twende tukacheze league
Hahaha!! Akat ananifungaga san hyoKibonde tu huyo😅
NdiyoSaiz?
Huyo BayernHahaha!! Akat ananifungaga san hyo
Heshima yako master 😂🙌Utafika umechelewa za kukabia ni mbili japo inabidi uwe chap kwenye vidole ni Match up na Dash kwa kukaba nafasi lakini, na hapo inabidi umsome mpinzani wako anacheza mpira gani mfano kama anapenda kupitia kulia we akishika mpira kabia kulia na ukiona amechange ameanza pitia kushoto na wewe usilale kama Anko T chap rudi kushoto japo yeye pia itamtesa maana keshakua na mazoea ya kupitia kulia