Masta wewe๐Mi ukweli sina training
Umeanza kupiga skills tumeishaUmeona sombrero ile ukasababisha penat kuepuka fedheha
Hiyo kwa msaada wa SA ni kudouble tap dashUmeanza kupiga skills tumeisha
Nilijua tuu hii kauli itafata nilitaka nishngae kashindaje huyu๐๐Haujawahi onesha ushindani ndiyo maana nacheza mizaha
Unakaza ๐๐Hakuna hiyo kitu, hili ni game na daily unakutana na opponent mwenye uchezaji tofauti na wako, huwezi sema hujifunzi kitu.
Aah familia kabisa wewe๐๐Sina net ya kuonyesha huo ushindani, kuna utofauti kati ya mechi za sasahivi na za kipindi cha nyuma.
Na sipati hiyo gametime ya kucompete na wengi humu ndiyomaana nacheza for fun.
Mpe point zake maana hamna kwa kupatia pointNilijua tuu hii kauli itafata nilitaka nishngae kashindaje huyu๐๐
Tutakuja kuuana room siku mojaTraining ni kwenda kupractise iwe na AI ama qm ila mimi muda mwingi ni division na friend match za kutoana jasho.
Call for pressure ni yangu tuu๐ ๐ wape na wengine radhaHahah kuna siku ntakuonesha pira mtafute-mtafute ( ushawahi kubiwa pressure na match up kwa pamoja ๐๐
Tutafika tuuUshaweka levels before kwahiyo usitegemee nitaweza compete na wewe kwa hali niliyokua nayo mkuu, net yako mbovu kutokana na eneo uliyopo kwa sasa.
Hakuna mtu ambaye hapendi kucompeete ila mazingira hayaruhusu ndiyomaana nacheza for fun sababu tu napenda kucheza game.
Leo unacheza na yoyote aliyepo mkuu๐Leo hamna fixture wakuu?...
Kwema mkuu umepotea hukuMamaster kwema
Razor mpk saa ameshacheza GGR laki tatu ๐ ๐Razor huyooo
Ananishindisha GGR ๐ ashtakiwe
Dah sie wemaOngeza na Razorblade katibu wao๐
Amezitaka atazipata๐Iko kaziii
Aah saivi ni easyHiyo kwa msaada wa SA ni kudouble tap dash
SawaaK
Mpe point zake maana hamna kwa kupatia point
Nkicheza na AI nafungwa maana najua hata nkiwafunga hamna kitu wanahisi ๐๐๐๐Tutakuja kuuana room siku moja
We mjuaji kuna muda mpira hautoki katikati ya dimba nkipora nkitoa pass unabroke nawe ukitoa pass nabroke hadi itokee mmoja apige through ๐๐๐Call for pressure ni yangu tuu๐ ๐ wape na wengine radha