Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,888
- 12,260
Unalijua vibe la comeback kwenye hili game? Unaweza amsha majirani ๐Utamfunza mdo mdo mwende sawa๐
Humo ndani muwe na mechi nyingi
Me ndo mwanao kakaOya unachoma utambi sasa ๐
Utu uko wapi?
Ndo yeye mkuu yani tangu apate wa kumliwaza huko selfika basi zile hasira zake za kuwa single kwa muda mrefu zote zinaishia kwangu ๐๐๐๐๐ Unazungumzia Edo
Aah familia๐๐Fala wewe ๐
Mechi nyingi ๐๐๐Utamfunza mdo mdo mwende sawa๐
Humo ndani muwe na mechi nyingi
Huwa napita kimyakimya, leo nilitaka kureply kwenye comment yako kuhusu series ya prisoner nikavunga.Mbona uzi wa movie hufiki kushea hizo taarifa
Nakubali ๐Uwezo mdg๐
Me nilijua akija na chache sana ni tanoHuyo balaa atakuja kuwapa uchambuzi ๐ค ๐๐ค ๐๐ค
Hata me naona maana nilijua hatoboiKapigwa mibuti
Nakuweka kiporo ๐Kujilemaza tuu๐
๐๐Dah utengwe
Fanya hivyo ๐Nitaenda Temu kuagiza๐
Siwezi mfanyia hivo ๐ค ๐๐ค ๐Me nilijua akija na chache sana ni tano
Kama ni lens hata mimi natumia ๐Hujui miwani? ๐
Glasses..
Spectacle..
Niombe code mkuuUnalinda brand?
Unajikuta yuda ๐Dah umeona kama me Nakukataa mno mwanangu ๐
Aagh! Huyo sifanani nae yeye sasahivi anaitwa ba mpenzi ๐Ndege wafananao๐คฃ