Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,192
- 29,171
Wa kwenda nae room🤣Kuna mtu aliniuliza nitapata vipi mwanamke na muda wote uko busy na game 😂
Mapenzi yanakuwa mazuri pale tu unapopata mtu sahihi.
Khalas 😂🙌
Wa kwenda nae room🤣Kuna mtu aliniuliza nitapata vipi mwanamke na muda wote uko busy na game 😂
Mapenzi yanakuwa mazuri pale tu unapopata mtu sahihi.
Khalas 😂🙌
Konami wakininyoosha nahamia kwenye movies/series 😂Unakofeli ni wapi? 😂
Huna hata wa kukupa pole konami akikunyoosha
Utamfunza mdo mdo mwende sawa😂Kuokoka kutokee wapi? Mama mtumishi hawezi vumilia kelele za Batistuta 😂🙌
😃😃 Unazungumzia EdoKuwa upande wangu, nitetee huyo kijana ananiandama sana 😂
Kapata mpenzi kule selfika basi ananioshea sana 😂🙌
Mbona uzi wa movie hufiki kushea hizo taarifaKonami wakininyoosha nahamia kwenye movies/series 😂
Uwezo mdg😃Ananinyanyasa 😂
Kaka kimetokea nini asee😃😃
Huyo balaa atakuja kuwapa uchambuzi 🤠😂🤠😂ðŸ¤Kaka kimetokea nini asee😃😃
Mamiyake🤣Jichagulie tusi mkuu 😂🙌
Si tulikubaliana penzi limekufa tangu Oct 29 😂
Kapigwa mibutiKaka kimetokea nini asee😃😃
Hapa kwenye miwani umemaanisha ya kiswahili au ya kizungu? 😂Sa uliyemtag mbona umechochora? Maana huyo anazikata tu zikiingia😂 anachagua konami kuliko bibi ake
Unacheza usiku ili tunaovaa miwani iweje?
Na unamsikiliza kabisa huyo fala 😂😂 basi akafie mbele
Hujui miwani? 😂Hapa kwenye miwani umemaanisha ya kiswahili au ya kizungu? 😂
Ewaaah! Ba mtu tuma code 😂Wa kwenda nae room🤣
Ndege wafananao🤣Na unamsikiliza kabisa huyo fala 😂
Aah sijui hata linaendeleajeSi anapenzi jipya huyo 😂