Kuna mtu aliniuliza nitapata vipi mwanamke na muda wote uko busy na game 😂Utakufa single nyau wewe😂
We kaa kwa kutulia likizo yangu ikiisha utajua tu 😂Unajisahaulisha, fresh mwanetu🙌🏾
Daah! Hii taarifa mbona sina mkuu 😂🙌Kana babe inamtaka humu kanaipuuza😂🙌🏾
Unadeka sana kaka 😃😃Kwahiyo ukija kwangu unachapa buti kwingine unawalea 😂
Basiii kuna nini tena 😂🤠🤠🤠Hahaha poa kaka, kwenye selection ya mwisho uta mchukua joshua kimich
Jichagulie tusi mkuu 😂🙌Atakua Tayana😃😃😃
Achana na duvet wewe njoo huku unalalaje na hujanionja 😂😂 sa mbona nataka niingie kwenye duvet
Nitaua😃😃Selikavu nmekutag lkn sijakutagView attachment 3594404
Upo mkuuNitaua😃😃
Kuokoka kutokee wapi? Mama mtumishi hawezi vumilia kelele za Batistuta 😂🙌Ameokoka? Au mnataka kumponza😁😁
Samsung Smart 8 mkuu😃😃Samsung aina gan hii
Selikavu kwani huna remote ya kusogeza siku mbele? 😂H
Hawezi kuja, akija hawezi kujitetea😂🙌🏾
Owaaa nina game za league huko nazingojea zijacheza hata moja kakaUpo mkuu
Fala sana 😂Sio kumponza kijana hataki.
Dah🤣We mandonga
Unamlinda mkeo asichepuke au🤣Upon free kuanzia saa 4.
Leo nipo lindo😂🙌🏾
Kuwa upande wangu, nitetee huyo kijana ananiandama sana 😂Si anajua wokovu hana na yule wokovu umejaa 😅