Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,555
- 11,348
Aiseeh! 😂🙌
Abeeee kulikoni
Nilikuona event uko busy😂
Nilikuwa nimeenda kupambania coins na mechi yenyewe niliikata, niliona invite 😂Nilikuona event uko busy😂
Usiku uwa sioni mkuu 😂Niombe code mkuu
Twende 😂Nilikuwa nimeenda kupambania coins na mechi yenyewe niliikata, niliona invite 😂
Fanya deposit 200k ununue coin ukamspin yamalNipeni muongozo wazee, nimedownload tayar najionea chenga Tu
Sielewi
AaaghUsiku uwa sioni mkuu 😂
Jiwe la gizani😃😃Nilimkusudia Edo ila kama limekupata wewe fresh tu 😂
Dah🤣🤣🤣Fanya deposit 200k ununue coin ukamspin yamal
Naitwa selikavu mfufua mapenzi 😃😃Aiseeh! 😂🙌
Braza alikua anaweweseka usiku anakutaja wewe🤗Abeeee kulikoni
Unataka kukaba au kushambulia 😃😃😃sema mapema
Tuanze na Setting kwanza...
Ukiwa hapo kwenye Home screen ya Efootball utabonyeza Extras (Inaanza Home then Shop then Academy then Extras)View attachment 3589928
Itakuja hivi
Chagua game setting...
View attachment 3589930
Then itakuja hivi
Chagua play setting View attachment 3589931
Then utaweka Setting zako hivi View attachment 3589933
Depal
Ukiweka setting hivi...
Ngoja nikuoneshe namna ambavyo zitatokea kwenye mechi
..
Mpangilio wa Button umegawanyika sehemu mbili kuna ambazo hutokea wakati umeshika mpira na kuna nyingine hutokea wakati team pinzani imeshika mpira
Wakati ukiwa na mpira button zako za uchezaji huwa ni hivi
View attachment 3589947
Kushoton Joystick kwa ajili ya kuchagua uelekeo wa mchezaji pamoja na pass na mashuti ukitaka yaelekee upande gani utumia hiyi...
Then kulia kuna dash hii inatumika kumfanya mchezaji akimbie
Then pass inatumika kwa ajili ya kupiga short passes ambazo jnafika mguuni kwa mchezaji alafu through inatuumika kupiga pass ndefu zile za kutanguliza mbele
Kwenye setting za ukabaji zipo hiviView attachment 3589951
Ukishapoteza mpira kwenye kugana tunategema Button mbili
Ambazo ni Match up na Dash and pressure
Ukikana kwa kutumia match up lazima utumie na direction yan wewe unachagua mchezaji aende wap kuzuia njia au pass kwahiyo lazima umdirect
Lakn ukitumi dash and pressure unashika tuu bila direction hiyo (joystick) mchezaji anafata mpira mwenyewe...
Hapo sasa ngoja nikuelekeze kwenda training uende kujaribu namna ya kucheza na hizo button
Sasa training uliyoenda ni ngumu kdg nenda hii kwanza then ukiona umeweza utaenda ya pili
Anz na hii kwanza
Nenda kwenye Academy
Chagua training View attachment 3590392
Ukitoka hapo chagua Dream team
Ukitoa hapo chagua Free training siyo ya Commanding ambayo umeenda
Then after anza na Attacking practice hapo utakuwa uwanja mzima mwenyewe cheza na wachezaji wako jaribu kupigiana pass ukiona umeweza kuelewa namna ya kuzitumia button lud nyuma chagua practicing match ujaribu kucheza na Opponent uone kama utatoboa
View attachment 3590393View attachment 3590394
Kwa heshima 😂🙌Bafo hatukuelewi mwanetu