eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Situmii muda mwingi kwenye game shahidi Selikavu (Usinikatae fala wewe) 😂

Hizi mechi za mchana zenyewe nazicheza na wewe sasahivi, mara nyingi huwa nacheza usiku 🙌
Sa uliyemtag mbona umechochora? Maana huyo anazikata tu zikiingia😂 anachagua konami kuliko bibi ake

Unacheza usiku ili tunaovaa miwani iweje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom