Shida labda ni FYuko mute kule kama hakuna kinachoendelea π
WarlD kaninyoosha room balaaUpo mzee?
Watamuua ππ
Me nacheza na upande tu anaoruka najua akiruka mara mbili halud tena mpk siku kadhaaJaribu kumfuatila siku kadhaa na uchezeshaji wa mikono
Amna mtu hapoNani anamjua huyu star?
Yani nikiangalia hizo pasi nakuona pro kama Corrie de killer, sifikishagi hizo namba πππ pass zina shida gani zikiwa mingi
Hapo ndo huwa napiga mara nyingi, wiki yote hii nimemfunga kwa kupiga hapo, leo kaniotea πKampelekea et kabisa kama anamdakisha redeπ
Eeh kaka asinifunge nyingi tu ntazila π
Code tukamuoneNani anamjua huyu star?
Mi mwema ππππ mwisho nitoke bila ndala huko
Fala πBado hujasemaππ
Bora wewe ulivyosema, Depal unionje tafadhali πUkishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.
Sa mbona hujatuonyeshaWarlD kaninyoosha room balaa
Niache πFala weweπππ
Acha basi sasa kwa ubora gani niliokuwa nao na kila siku unanifunga halafu wewe ndo trainer wake ππWatamuua ππ
ππ asante kwa doso.. wacha nijionjee Razor kwanzaUkishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.
ππ unamfahamu?Amna mtu hapo