Nkuonyeshe kitu.. mtu akicheka namfinyaππAlijichanganya tuuππ me siwezi muuaπ
πππ unatak watu waingie kingi uwazabe vzr vzr wewMe mwema Sana mkuu
Ushawai pigwa alafu ukaambiwa GGs Nimejufunza vingi kutoka kwakoππ
Ngj nicheck kam yuk online tenaMpe invite huko me nimecheza nae asubuhi tulikua na unfinished battle la jana usikuππ
Wewe ni France uliamua kutafuta mtu wa kucheza nae???ππNkuonyeshe kitu.. mtu akicheka namfinyaππView attachment 3591713
πππ Hujacheza na wale computer uliowazoea huyo alikua ni mtu kabisa yupp na simu yakeπππHamkusema kama Ujerumani ndio mbad hivi
Kanibonda kama ngoma aisee
Lol, sitakii Selikavu naomba ile kikosi
Dembele sijaona alichofanya
Anaruka ruka tu kama anacheza rede
ππ
Ninachokuambia kuna watu hawafai humu sema wanashinda telegram πππhuku kuja nadraπππ unatak watu waingie kingi uwazabe vzr vzr wew
Ingekubal kufunguk telegram ningeend wakanifunzeπNinachokuambia kuna watu hawafai humu sema wanashinda telegram πππhuku kuja nadra
Watalud huku pia ππban ikiwa liftedIngekubal kufunguk telegram ningeend wakanifunzeπ
Naon bado Warld yup kweny account nyingineWatalud huku pia ππban ikiwa lifted
Ahhaha ni Wahuni tuπ wanadai kwamb wanachaji hio hela kwa7bu ya policy za nchi ye2 nayo inawachaji hela nyingi
Nikirudi tawapa tu ela yao,Daah itabid tuhamie tuu Whatsapp japo tulikuwa hatutaki hiyo kwa ajili ya kumntain Anonymous ya Jf
Hahah naona uja toka kinyonge tackle 3 , Corrie de killer akupe traine za kushusha watu mabutiNkuonyeshe kitu.. mtu akicheka namfinyaππView attachment 3591713
πππ Razor kaniambia mabuti sio mazuri nikayamaintain. Kumbe yanaruhusiwa as defence mechanisim?Hahah naona uja toka kinyonge tackle 3 , Corrie de killer akupe traine za kushusha watu mabuti
Eeh Corrie si unaiona hapo ipo online??Naon bado Warld yup kweny account nyingine
Hawa Panama unawaoneaπππππ Razor kaniambia mabuti sio mazuri nikayamaintain. Kumbe yanaruhusiwa as defence mechanisim?
Wameishaaa
View attachment 3591738
Uje bhana Corrie anatamba sana siku hizi kuna mada imekupita ukija lazima iludiweπ π πNikirudi tawapa tu ela yao,
Haipo yeyeEeh Corrie si unaiona hapo ipo online??
Basi katoka itakua konami server zao zimekula BhangiHaipo yeye
Yeah itakuwaBasi katoka itakua konami server zao zimekula Bhangi