Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,872
- 12,230
Mkuu naona unaminyana kwenye dvn.Twende mkuu kama upo online
NakujaMkuu naona unaminyana kwenye dvn.
Poa nisubiri namalizia mechi kwenye my leagueNakuja
Turudi tuTurudi
Mkuu unataka unisambue๐Turudi tu
Twende uwanjani mkuu ๐Mkuu unataka unisambue๐
Mkuu umeweka random, kwangu kipengele hiyo.Mkuu unataka unisambue๐
Poa.Ni invite
Hiyo LBC unaitendea haki mkuu najiuliza Selikavu anakufungaje bado sipati majibu ๐.Oya Razorblade ndio kindege hicho๐ ๐
Nahitaji match na wewe mara kwa mara mkuu siyo kwako tu wengi wanaotumia LBC nashindwa kutoboa ๐.Umeona Arteta ball๐
Ukitaka kumfunga LBC miliki mpira umemaliza kaziNahitaji match na wewe mara kwa mara mkuu siyo kwako tu wengi wanaotumia LBC nashindwa kutoboa ๐.
Kila nikipoteza mpira naanza kuhesabu goli, najitahidi sana kutafuta namna ya kukabiliana na LBC.Sema ni hatari sana kutanguliwa kufungwa na wewe๐