eFootball Special Thread

Shem kama shem nimeteseka sana na ndugu yangu yani tunaingia kwenye mechi akili yote ipo kwako.

Sababu ya kuwa wa mwisho chanzo ni yeye mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuambiaa shem kaka ako anani care na kuni handle siku hizi hadi naogopaa!! Nataka nimtoe hukoo.
Nifurahie ndoa yangu mie atii, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na zile buttons ndio zinaniletea usiku 😝
Sasa training uliyoenda ni ngumu kdg nenda hii kwanza then ukiona umeweza utaenda ya pili

Anz na hii kwanza

Nenda kwenye Academy

Chagua training

Ukitoka hapo chagua Dream team


Ukitoa hapo chagua Free training siyo ya Commanding ambayo umeenda

Then after anza na Attacking practice hapo utakuwa uwanja mzima mwenyewe cheza na wachezaji wako jaribu kupigiana pass ukiona umeweza kuelewa namna ya kuzitumia button lud nyuma chagua practicing match ujaribu kucheza na Opponent uone kama utatoboa

 
Na zile buttons ndio zinaniletea usiku 😝
Jaribu kwenye training kwanza then ukizoea utalud kumalizia training yako...


Na pia nadhan kilichokushinda ni pass za kunyanyua zinaitwa Lofted muda mwingine Crosess ukitaka kupiga hiyo button ya pass unaibonyeza kwa kupeleka juu pass inanyanyuka😃 Nadhan hapo ndo ulipo pata changamoto
 
Hii ina tofauti gani na PS mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…