Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,923
- 12,353
Sasa wewe ambaye siyo mwanachuo umefata nini humu?Huu ni uzi wa wanafunz wa vyuo, wasio na kazi na wanaishi kwa shemej zao tu
Ana wenge huyo ๐
Hao ulowatag ni wanafunzi wenzako, jobless au nao wanaishi kwa shemej zao?
Ukisusa siye twala ๐๐Fala ๐คฃ
Kila mtu na priorities zake usifose tufanane...Mwanaume unakaa unacheza game kwenye simu huo ni umama, mngekua mnajiweza mngecheza kwenye mashine za PS4 na PS5 online, lakn huu ujinga wenu wa kwenye simu asilimia 99.99 wanafanya wasio na kazi, wanafunzi na wanaoishi kwa waume wa dada zao
We popoma umechukua accountMkuuu
Kwahiyo wewe unakaa kwa wifi yako ukigombania remote ..Huu ni uzi wa wanafunz wa vyuo, wasio na kazi na wanaishi kwa shemej zao tu
Mazafanta ๐๐Hao ulowatag ni wanafunzi wenzako, jobless au nao wanaishi kwa shemej zao?
Alichukua ndiyo ila kesho analudisha๐๐๐We popoma umechukua account
Mamiyake๐๐Mazafanta ๐๐
Leo uje upokee matesoWasalimu telegram ๐๐๐พ
Waambie night wawe wanakuja niwape code na vipigo๐๐
Simhitaji npo napambana na mabululu yanguAlichukua ndiyo ila kesho analudisha๐๐๐
Umeshamkumbuka Kibonge Rooney ๐๐
Mna game nao ya Coop๐๐Leo uje upokee mateso
๐๐kikosi kinakufaa kile๐๐Simhitaji npo napambana na mabululu yangu
Mkuu uhali gani .Mwanaume unakaa unacheza game kwenye simu huo ni umama, mngekua mnajiweza mngecheza kwenye mashine za PS4 na PS5 online, lakn huu ujinga wenu wa kwenye simu asilimia 99.99 wanafanya wasio na kazi, wanafunzi na wanaoishi kwa waume wa dada zao
Anataka tuonekana waovyo sasa.Mamiyake๐๐
Namtaka pvp ๐๐Mna game nao ya Coop๐๐
Bongo tunapangiana kila kitu๐๐Anataka tuonekana waovyo sasa.