Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,617
- 27,652
Umuue😃😃Namtaka pvp 😂😂
Umuue😃😃Namtaka pvp 😂😂
Aagh account yangu inabaki yatima haikuwi .😃😃kikosi kinakufaa kile😃😃
Eeeh kahitaji shidaUmuue😃😃
Hajui kuna watu wanakula kupitia EfootballBongo tunapangiana kila kitu😃😃
9th Anniversary inakujaAagh account yangu inabaki yatima haikuwi .
Hii cha wote siitaki
Mstream😃😃Twitch ipo vzr mtupe link tuuEeeh kahitaji shida
Ngoja nitafte coin maana balance ipo 00 😂😂
Watu washakalili😃😃maishaHajui kuna watu wanakula kupitia Efootball
Kwa tambo lipi la kustream 😂😂Mstream😃😃Twitch ipo vzr mtupe link tuu
upate Guilty hapo utasema cha wote😃😃Hii cha wote siitaki
Mwambie Corrie de killer akuuzie😃😃😃Ngoja nitafte coin maana balance ipo 00 😂😂
We stream bhana embu jaribu kustream hata na Ai then utaniambiaKwa tambo lipi la kustream 😂😂
Alafu ukute ni wale wapo Efootball miaka 3 ila hajawahi fika div 1 ndiyo makasiriko haya.Watu washakalili😃😃maisha
Akiniudhi naenda kuspin zote 😂😂Mwambie Corrie de killer akuuzie😃😃😃
😃😃Unakutana na sisi ndani ya mwaka mmoja tulishamasta game Division one kugusa tuuAlafu ukute ni wale wapo Efootball miaka 3 ila hajawahi fika div 1 ndiyo makasiriko haya.
Pixel 3 😂😂 haina huo umakini .We stream bhana embu jaribu kustream hata na Ai then utaniambia
Daah atalia mno🤣🤣🤣mwenzako ana ndoto ya kuclear packAkiniudhi naenda kuspin zote 😂😂
😃😃😃 nimekosa mimi nimekosa sana kwahiyo usiniambie kutunyanyasa kote huku efootball unatumia Pixel 3, tunafungwa kwenye Pixel 3Pixel 3 😂😂 haina huo umakini .
Sema akija nimuombe code hata akiwa anatumia console tutacheza tu 😂😂😃😃Unakutana na sisi ndani ya mwaka mmoja tulishamasta game Division one kugusa tuu