MAWEED
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 4,152
- 14,378
Hacker kwenye efootball hakuna hili sio Dream league mkuu,unapotea
Hacker kwenye efootball hakuna hili sio Dream league mkuu,unapotea
Mimi namjua sasa familiya yangu huyo, we endelea kuamini hakuna hacker 😂🙌Hacker kwenye efootball hakuna hili sio Dream league mkuu,unapotea
Kijana unaita mechi halafu hutokei 😂Ka update game uje
Lete email yako na password tuzivuruge halafu uone kama huyo Selikavu ata recover account yako...Mimi namjua sasa familiya yangu huyo, we endelea kuamini hakuna hacker
Uazime simu uwe ina log in ma kuspin mkuu😂😂Wadau simu ime zingua hii week nzima, nakosa coins na free legends Razorblade Selikavu
😅Mchawi email nime sahau password asee, Niki link ina tuma code kwenye email ilio kwenye iyo simu hapa Hadi ni tengenezeUazime simu uwe ina log in ma kuspin mkuu😂😂
Mmeingia bila VPN😃Kama mm tu yaani hadi ifunguke ni dakika 10 hivi.
Tuwaambie warudi huku.
Warudii nyumbani 😂🙌
Selikavu Razorblade Mr Devil
fala kwel wewe nitakulipa hii😃😃Nacheza huki nimefumba macho 😂
Wadau simu ime zingua hii week nzima, nakosa coins na free legends Razorblade Selikavu
Kazi ipo😅Mchawi email nime sahau password asee, Niki link ina tuma code kwenye email ilio kwenye iyo simu hapa Hadi ni tengeneze
Mm nmebadili simu, siwez tena kuloign telegram, wanataka 3,300 TZS Ili watume activation codeKama mm tu yaani hadi ifunguke ni dakika 10 hivi.
Tuwaambie warudi huku.
Warudii nyumbani 😂🙌
Selikavu Razorblade Mr Devil