Jf ilipoa sanaNdio mkuu
Kazi niliyoipata kuwatoa Jf kuwaleta Telegram ndo kazi utakayo ipata kututoa Telegram kutuleta hukuππKafute mm na uninstall app yao dadeqππππ
ππππππNjoo room
Vp mkuu, nina changamoto ya kuwin mipira ya kichwa yani mfano kipa akianzisha mpira mrefu nikiruka na kudirect direction let say kushoto inaenda tofauti either direction iende kulia, nyuma au mbele mpira ulipotoka yani nishachoma magoli mengi sana sijui nakwama wapi.Kazi niliyoipata kuwatoa Jf kuwaleta Telegram ndo kazi utakayo ipata kututoa Telegram kutuleta hukuππ
Kama ni wakati wa kushambuliwa tumia clear hasa ila uwe makini kama yupo free tumia option ya pass kwa kipa kwa kichwa unabonyeza pass na direction kwa kipa...Vp mkuu, nina changamoto ya kuwin mipira ya kichwa yani mfano kipa akianzisha mpira mrefu nikiruka na kudirect direction let say kushoto inaenda tofauti either direction iende kulia, nyuma au mbele mpira ulipotoka yani nishachoma magoli mengi sana sijui nakwama wapi.
Ahsante mkuu, mipira naiwin issue inaenda direction tofauti na niliyoilenga.Kama ni wakati wa kushambuliwa tumia clear hasa ila uwe makini kama yupo free tumia option ya pass kwa kipa kwa kichwa unabonyeza pass na direction kwa kipa...
Ila kwenye changanyike. Tumia clear...
Wakati wa kushambulia hakikisha mchezaji wako ni mrefu na pia ana skill ya heading na Aerial Superiority hii hata kwa midfielders jitaid wawe nazo inasaidia kuwin mipira vzr...
Humu ndani sijakutana na mtu anawin mipira ya juu kumzid Gilberto_ akija atatia neno
Hatimaye tumerudi nyumbaniπWakuu
Kazi juu ya kazi, ajabu inaoneonekana upatikanaji kwa Telegram ni rahisi kuliko huku πKazi niliyoipata kuwatoa Jf kuwaleta Telegram ndo kazi utakayo ipata kututoa Telegram kutuleta hukuππ
Akili zakoππKazi juu ya kazi, ajabu inaoneonekana upatikanaji kwa Telegram ni rahisi kuliko huku π
Tutarudi tu ngoja hali ikae sawa, kule tutawaachia wafanyabiashara yao ππ
Soko la watu lile πAkili zakoππ
Mnatumia network gani kuingia humu mbona mie nikijaribu bila kiunganishi haikubali.Ebu tuweke link.
Nb. Tulianzisha group kwa sababu huku kulifungiwa ila now tutakuwepo huku kwa sababu wamekufungua tayari..
Selikavu weka link
Naomba niungwe kwenye hilo group
Shukran..JF Champions League
WALL OF CHAMPIONS The Conqueror πππ Gilberto π Selikavu π Mr Devil π Neganπ Fair play Award Corrie De Killerπt.me