Hii ambayo Tanzania wamepeleka wahindiπππHiyo World cup ya eFootball mmeisikia wakuu?
Unavyoona ndo hivyohivyo πNaona humu features zinazidi kufanyiwa marekebisho π sijaingia wiki 2 naona hakuna ile emoji yetu ya kucheka π€£
Au ni server yangu ya VPN ndo inanichanganya
Wamefanya maboresho kakaNaona humu features zinazidi kufanyiwa marekebisho π sijaingia wiki 2 naona hakuna ile emoji yetu ya kucheka π€£
Au ni server yangu ya VPN ndo inanichanganya
Karibu huku ndio Razor atamfunga negan lin anapotambaWakuu hapa country of residence niweke ipi ndio nzuri π nimehamia huku from DLS
Weka Japan πWakuu hapa country of residence niweke ipi ndio nzuri π nimehamia huku from DLS
Uwanja wa nyumban hapa penyewe nimetoka kucheza tangu saa 12 ndo napumzika nowKaribu huku ndio Razor atamfunga negan lin anapotamba
Una anza vipi kumsahau malkia wako Joanah π π¦Razorblade upumzike sasa nimelud kwenye Selikavu yangu
Cc adriz The Consigliere Intelligent businessman
Halafu nikisahau mimi wana andamana kudadadeki, huyu Selikavu hana adabu.Nimelia kinyama
Halafu nikisahau mimi wana andamana kudadadeki, huyu Selikavu hana adabu.
Razorblade hii jinga nyenzio yumba sana π.
Selikavu lile jina ali chukua ili kumtroll Razorblade kuwa hawezi kumfunga NEGAN kwenye game πLakini nimefeel good amerudi kwenye jina lake
Lile lingine sijui alilitoa wapi huyu kijana
Ehh, kijana ana babuliwa kila day.Game gani?
Efootball?
Ehh, kijana ana babuliwa kila day.