eFootball Special Thread

Sikuhizi hapati nafasi, kwa huu mpira hafai hata kwa kulumagia ๐Ÿ˜‚
Hakuna marefu yasiyo na ncha ..


Jaman amke amken

Wameachana bhana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Mtu na strker la uzito Wa GB mbili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nakutafitia badge ya fifa kocha .....hatuwezu kosa timu ya daraja hata la 3 uingereza
Labda kwenye magemu sio real football ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚alafu kama unafuatilia natoa opinio kutokana na mchezo wangu ulivyo ndo maana napishana na Razorblade kila siku๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mchezo wangu hauelewi anaona nacheza utumbo alafu anaona nipo nampa mtu suggestions acheze mchezo wangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawashauri kutumia CF wenye playstyle 1 sababu ya muingiliano, unaweza mpa mmoja counter target ili mwengine awe anafanya runs akiwa free.
Yeah hii issue nilkua naona ,nka jaribu na hallad fox in the box na bat goal ,goal poacher mbele kukawa ni fujo tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha ..


Jaman amke amken

Wameachana bhana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Mtu na strker la uzito Wa GB mbili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ukiendelea hivi naenda kumjaza speed hata akishuka mpaka 100 namuweka kikosini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kaota kitambi
Kikubwa mnoo, na vile card yake ilivyokaa ni kama vile ananiambia nimuhurumie acheze hata kidogo ๐Ÿ˜‚

Ila nimemuweka kwenye gameplan 2 ya Amorim namtafutia cross specialist tu.
 
Corrie de killer mkuu network yako ina shida


Nilitaka tucheze game kadhaa ili tuje tupeane ushauri vizuri lakn naona kwako changamoto...

Pia cheza game nyingi sana za kirafiki mkuu uongeze uzoefu..

Japo nimeona kama kwa mchezo wako 4222 au 4312 ndo unakufaa maana unahitaji AMF wa kuanzisha mashambulizi kuanzisha na na DMF nimeona ni kazi kwako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ